Dar es Salaam

Dar es Salaam

Watu wanaishi kwa hesabu kataka hili jiji, muda huu ombaomba wametulia katika mijengo yao wanawazoom tu kwa Televishini kama maboss zao mtatoka mkafe au vipi!
 
Waliwapiga risasi wakawamaliza Oct 29 - Nov 3, risasi haina macho
 
Ila Dar es Salaam mji wa maigizo sana,
hakuna vichaa wala ombaomba barabarani.
Daslam bhana…

Manzi yako inaweza kupigia Video call saa nne usiku kwamba inalala…
Na ikalala kweli… kumbe imeseti ALARM saa saba usiku inatoka kwenda Club🤣😅

Na ukipiga usiku huo hapokei… asubuhi anakuambia alikua amesinzia💔
Kuna kipindi nliachana na michepuko yangu 6 kipindi hicho ndani ya Usiku mmoja!

Nlipiga doria matata saana kuanzia saa saba usiku hadi tisa.
Samaki samaki, wavuvi kempu, The Uncles,The Link,Tips nk
Kipindi hicho Amell na the voice hazipo..
Nlikua napita meza hadi meza…
Nkikupata nachukua ufunguo wa Apartment roho safi…nguo zako bolt atazifanyia delivery…
Maana kipindi hicho nlikua nawapangiaa full furnished apartment- unakuja tu na nguo 🙌🏽

Now nmeokoka…
 
Back
Top Bottom