dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni jiji ambalo watu wanarogana sana

    Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either ☆kuroga ili wapate kazi fulani ☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie ☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi. ☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo. ☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike. ☆ Kumroga...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

    “Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam…tumetengeneza na yadi ya zege, tumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua Meya wa Jiji lako la Dar es Salaam?

    Wana JF, Hata kwa kuwa tuna chronic issues (majitaka, dampo, mitaro, parking, paving nk) kero hizi zinamfikia nani?
  5. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kiiuchumi kwa Tanzania Kutokana na Machafuko ya Ubaguzi Afrika Kusini nafasi ya Bandari ya Dar es Salaam na Reli ya SGR kuelekea Dodoma

    Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha: Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini, Kupungua kwa imani ya...
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Watu mnaokaa Dar es salaam, je Hii gereji bado ipo?

    Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
  7. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dar es salaam na mfumo wa unyonyaji

    Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
  8. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mfumo wa unyonyaji kwa wanafunzi wanaobaki baada ya kumaliza Masomo

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na ninahisi kimejengewa mfumo usio rasmi wa kuwaibia vijana wanawabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia kusimamiw semina na kufundisha (tutorial assistants). Vijana hawa kwa muhula wa pili sasa mwaka huu hawajalipwa malipo...
  9. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kufanya udahili Chuo cha DIT - Dar es Salaam, Index Number Kidato cha 6 haikubali

    Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage. Kiufupi kuna changamoto na mbaya...
  11. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Karibu PM / Inbox nikupe namba
  12. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Kwa maelezo zaidi njoo pm
  13. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini!

    Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini ila wanamiliki iPhone na wanajua kunyoa na kuvaa vizuri and that's what give them confidence.. If you visit here hangaika na kilichokuleta. Ukishaanza kupunguza tamaa za fashions unakuwa umekuwa sehemu moja muhimu sana. Tufanye kazi hawa viongozi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam. Nasafiri mimi na mke wangu Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis. Nitachangia nauli.
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi

    Kama unatafuta Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi - nasimamia mitandao ya kijamii pia naweza kusimamia tovuti (website) Mawasiliano: 0756704145
  16. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  18. H

    JamiiForums Tanzania Elite home tuitions teaching vacancies in Dar es salaam will be available here

    ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6. Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment. Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo tyri kulipwa kwa siku20.za mwezi 160,000 basi njoo inbox.
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Piki piki used dar es salaam

    ..
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

    Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako. Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
Back
Top Bottom