dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

    Juzi nikitoka zangu Mtwara huko nikasema nije kupoa kidogo mjini of course I had a company my OG circle wakami invite bahari beach somewhere knows as jungle tukae chill na my nigas a lot of stories Leo nikasema sasa nikawe na relatives wacha NI request bolt kdg ila nipitie njia ya Goba Aisee...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

    Viunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika? Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia: Chanika Chamazi Makongo juu Kivule Kiwalani Yombo vituka Mabwepande Mburahati .
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona ● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge ● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia ● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu ● Maduka...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za Home Tuition Dar Es Salaam

    Elite Home Tuition Services – Dar es Salaam Elimu bora nyumbani kwako Unatafuta maendeleo ya kweli kwa mtoto wako bila usumbufu wa msongamano wa madarasa? Elite Home Tuition tunakuletea walimu bora hadi nyumbani kwa viwango vyote na mitaala yote. Mitaala yote inafundishwa: – Tanzania...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwami, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Bila uasi hakuna jambo lolote litakalotekelezwa

    Dkt. Mwami, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amezungumzia umuhimu wa kuifufua upya harakati za Upan-Africanism kwa kuanza upya misingi yake ili kuikomboa Afrika. Amesisitiza kuwa uasi si jambo baya, hasa pale ambapo mtu anaamua kuasi mifumo kandamizi kwa lengo la kujikomboa...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam

    Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam, anapambana kufa kupona familia ile ishibe na bills zote zilipwe, then mwanamke baada ya kutakata, kupendeza na kuwa mrembo wahuni wanaanza kumvizia, na yeye alivyo...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam kuwa kitovu cha bidhaa za refurbished

    Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu mnao miliki mijengo Luxury Mansions Dodoma na Dar es salaam na mnampango wa kuziuza mimi ninatafuta kununua

    Habari wakuu, Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara. Napendelea kupata maeneo ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Geofrey Timoth achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia CCM

    Wakuu Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana. === Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  13. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  14. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata vibali ya ujenzi kwenye maeneo ya skwata kama mbondole Ilala Dar es Salaam ni halali?

    Ukiacha zoezi zima la kuzuia ujenzi usio na kibali kugubikwa na Rushwa, wanaodai kulipia hivyo vibali wanadai wamelipa mkononi bila kupewa control number. Lakini kisheria ni halali kulipia hivyo vibali kwenye maeneo ambayo yapo kwenye mpango wa kurasimishwa? Mtu anajenga ukuta wa nyumbani...
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (mechanical engineering) 0756704145
  16. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Pata msimamizi wa kazi na miradi, Mbeya na Dar es salaam

    Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Suluhisho la Msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam

    Nimeona jitihada zinazofanywa na wadau katika siku za hivi karibuni kutafuta suluhisho la tatizo sugu la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, ikiwemo hatua ya kufunga kamera za ufuatiliaji barabarani. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, matumizi ya kamera hayawezi kuondoa tatizo la foleni kwa...
  19. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania CHALAMILA usipoangalia MSANDO atakufanyia figisu utolewe Dar es Salaam

    Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana! sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam

    Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo. Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka. Pia...
Back
Top Bottom