Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
SAFARI YA KUSISIMUA: DAR ES SALAAM - MUSOMA KWA X-TRAIL
Safari ya kipekee!
Leo tunazungumzia safari ya kipekee kutoka Dar es Salaam hadi Musoma—safari ndefu lakini yenye mandhari ya kuvutia, mabadiliko ya mazingira, na uzoefu wa kufurahisha. Safari hii siyo tu kwamba inahusisha mvuto wa...
Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?
Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara wengi wa Dar hasa Sinza wanakodi fremu za bei ghali sana lakini bidhaa wanazouza hazilingani na kodi...
Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
Piga 0746373222 Kwa mahitaji ya vitasa janja (smart lock) yani vitasa ambavyo unaweza kufungua kwa funguo za kawaida na pia ukitaka unafungua kwa password au fingerprint au app ya simu au card.
Vipo vitasa kwa ajili ya milango ya mbao,milango ya alminium,milango ya vioo na pia milango ya...
WanaJF, Hebu Tulete Elimu ya Biashara Humu ndani…
Ndugu zangu wa Jamii Forum, natumaini mko salama kabisa. Nimeona nilete uzi huu mzito wenye mafunzo halisi kwa wale wote wanaotaka kutoka mtaani hadi kwenye digital empire kwa kutumia biashara ndogo zenye faida kubwa pale Dar es Salaam. Kama...
Naam Habari zenu waungwana.
Namzungumzia ambaye sasa ni mkuu wa wilaya ya kigoma mjini ndugu Dkt Rashid Chuachua, ambaye pia amewahi kufanya kazi chini ya ndugu Albert Chalamila. Chalamila alipokuwa mkuu wa mkoa wa mbeya Chuachua alikuwa ni mkuu wa wilaya ya mbeya mjini, kama nimekosea...
Habari zetu wakubwa.
Mimi nipo Naishi Dar es salaam.
Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka.
Naweza kuendesha Manual na Automatic.
Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving.
Nilijiunga mafunzo...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema kuwa watu hao hawajui historia ya jiji hilo na hatua ya kimaendelea iliyopigwa kuanzia kipindi cha...
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Habari za mda huu waungwana mimi ni mkufunzi wa kujitolea katika moja ya chuo hapa mjini kwa mda wa mchana hivyo natafuta kazi ya kuniingizia kipato mda wa usiku ili kubalance maslah madogo ninayoyapata kwa sasa
Naomba ushirikiano wenu pale utakapopata au kuwa na kazi yoyote inayozingatia...
My Take
Watu wanaoishi Dar wanapata shida sana Kila siku taabu.
Kuna likiwaka taabu joto kama Afghanistan na Khartoum
Mvua ikinyesha mafuriko kilamaha vinyesi vinaelea njia hazipitiki.
Hongera sana Nyerere, Magufuli & Samia.Dom nk Mji salama na sahihi kuwa Capital City
Katika tukio jingine...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi.
sifa za mlinzi anaehitajika.
Awe mtanzania
Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
#sale
APPERTMENT ZINAUZWA “””
ZIPO ZA VYUMBA VITATU “”
ZIPO ZA VYUMBA VIWILI
ZOTE ZINA WAPANGAJI
VYUMBA VITATU NI LAK 700K
VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K
UKUBWA WA KIWANJA
NI SQMT 1200””
KUNA HATI MILIKI
OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO
LOCATION
MBWEN MPIJI...
Katika jambo linalonishangaza ni kuwa mwaka huu 2025 mwezi wa nane Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda tunahost michuano ya CHAN na 2027 tunahost Afcon lakini jiji la Dar es Salaam kila kukicha linaendelea kuwa chafu, vibanda na biashara hole holela zinaongezeka kila kona.
Bodaboda hawana...
Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na matumaini makubwa ya kupunguza...
Job Title: Horticulturist
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Job Summary:
We are seeking a Horticulturist to help improve plant growth, yield, and quality. Horticulturist will manage gardening operations, care for various plants, and lead research efforts to optimize crop development.
Key...
Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.
Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.