Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi.
Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi.
Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za kuingia kwenye usafiri ile vuta ni kuvute, akajikuta maziwa yote yapo wazi, na yeye hakujali wala nini...
✅JE UNAHITAJI KUCHIMBA KISIMA CHA KISASA CHA MAJI SAFI NA SALAMA KAMA UKO DAR ES SALAAM TUMEKUPA PICHA TU YA WATER TABLE IKO MITA NGAPI KWA MAENEO TULIYOCHIMBA VISIMA
Feri_ kigamboni mita 50
Kisota _Kigamboni mita 70
Geza_Kigamboni mita 70
Dege_Kigamboni mita 60
Mbutu kichangani_Kigamboni...
Nimerudia Kazi Yangu
Jasiri haachi asili!
Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika.
Ninapangisha:
Nyumba
Vyumba
Fremu za Biashara
Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi...
Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam
Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
ENG. GODWIN KAMALA AJA NA VIPAUMBELE VITATU KWA WANANCHI WA JIMBO LA KAWE, DAR ES SALAAM
Mhandisi Godwin John Kamala ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Mgombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam ameendelea kunadi sera zake kwa Wajumbe wa Kata
Aidha...
Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye ufahamu wa gharama au wadau wa kazi za ushafirishaji naombeni msaada.
Zahanati ya Tambukareli iliyopo kata ya Azimio wilaya ya Temeke DSM, ambayo ni tegemeo kwa wananchi wa kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia doa huduma za afya na kuathiri maisha ya wagonjwa na wateja kwa ujumla.
Malalamiko kutoka kwa wananchi...
Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?
HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?
Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?
ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?
COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?
MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?
SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?
Clouds FM Ni...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo.
Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma.
Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either
☆kuroga ili wapate kazi fulani
☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie
☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi.
☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo.
☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike.
☆ Kumroga...
“Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam…tumetengeneza na yadi ya zege, tumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha:
Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini,
Kupungua kwa imani ya...
Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote.
https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na ninahisi kimejengewa mfumo usio rasmi wa kuwaibia vijana wanawabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia kusimamiw semina na kufundisha (tutorial assistants).
Vijana hawa kwa muhula wa pili sasa mwaka huu hawajalipwa malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.