cuf

Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania CUF YAPUKUTIKA MKURANGA

    . Wanachama wa CUF 290 katika Kata ya Mwandege Mkuranga wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Kata Hassan Mnamba na aliyekuwa Diwani wa Viti Maalum Salma Rashid wamekihama Chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti Dorothy Semu
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wenye akili wanaweza kuwa wafuasi wa - CDM, ACT, NCCR au CUF?

    Jf, members! Salaam! Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:- (a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wanaomkandia Hayati Magufuli ni watukufu au waovu? Ni mafisadi au wema? Ni wazembe au wavivu?

    WanaJF, Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
  5. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya CHADEMA, NCCR, CUF, ACT, UDP nk ni kampeni

    WanaJf, Salaam! Kinachofanywa na vyama vya siasa nchini hususan nilivyotaja hapo juu ni uvunjifu wa Sheria. Msajili wa vyama nchini, Serikali, CCM na mamlaka zingine chukuweni hatua kwa wakati vinginevyo deko mnalowapa hawa vyama ni hatari kwa nchi.
  6. mtz one

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya . Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kunguni wa CHADEMA, NCCR, ACT, na CUF wanamshambulia Tulia Ackson - CCM tusikubali kamwe

    WanaJF, SALAAM! Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali". Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yashinda kesi dhidi ya CUF kuhusu mgogoro wa majengo

    Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF. Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

    WanaJf, Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023! Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka. Hii kweli inatuonesha kwamba...
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba (PhD), Mwenyekiti CUF, 1999-2022!

    Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako. NB: Naambatanisha na tasnifu (PhD Thesis) yake ya shahada ya Uzamivu.
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake

    Kina tetesi kwamba Bashiru amekuwa na vikao vya Siri sana na viongozi wa juu wa CUF. Moja kati ya mambo waliyojadili ni mapokezi makubwa ya Bashiru Ally Kakurwa ambaye muda si punde atarejea kwenye chama chake Cha CUF. it's wa chama Cha CUF ambao waliomba majina yao yasitajwe, walieleza kwamba...
  13. mshale21

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

    Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini? Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani" Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter Mkiendelea...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni zaidi ya msaliti na laghai wa kisiasa. Mimi nilitarajia awe Ngangari kama Lipumba wa CUF

    Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni? Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro. Daudi Mwangosi? Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

    Sikiliza
  17. J

    JamiiForums Tanzania CUF yapendekeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amemtaka serikali ya JMT iwe ya. Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar CUF Ilikuwa inawasilisha maoni yake mbele ya Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe. === Chama cha Wananchi (CUF) kimependekeza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na muundo wa...
  18. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Ilianzia CUF, sasa NCCR. CHADEMA wajiandae

    MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea. CUF walifanya mambo kwa mazoea wakidhani isingewezekana kisiasa au Kisheria. Msajili wa vyama...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

    Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa. Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
Back
Top Bottom