Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,163
- 11,565
Tundu A. Lissu, homeboy ni mwanasheria mzuri na mwanasiasa machachari sana, hapa ninakiri kumkubali.
Kiongozi huyu anaewapeleka chadema kwa kasi ya 4g pasina kueleweka anako wapeleka. Kimsingi hatabiriki kesho atakuja na stori gani na dhihaka gani kwa viongozi walio hai na wasio hai japo yeye anaita ukosoaji.
Misingi ya maridhiano kupelekea Katiba mpya ni dhahiri shahiri haitambui na anapingana nayo vikali, haishii hapo anatofautiana hata na Mwenyekiti wake.
Hii ina maana kwamba angependelea Mh. Freeman A.Mbowe aendelee kusota na kuteseka magereza na mikutano ya vyama vya Siasa kuendelea kupigwa pini. I can predict hali hii ikiendelea Mwenyekiti na Makamu wake will not see eye to eye siku za usoni. Mark my words.
Wengi especially elite class na visionary politicians ndani ya Chadema wameanza kujiengua kimya kimya mapema kwasabb ya aina ya siasa za kibinafsi na zinazoshambulia zaidi utu binafsi wa watu anayoifanya Lissu.
Siasa zilizojaa dhihaka, dharau, udini, ubaguzi kijinsia, ukanda na kwakweli siasa za majigambo kwamba no one is powerful than him within chadema wether you like or not. And you can't do anything up on me.
Kutofautiana kwake na Mwenyekiti ni ishara tosha kua hadi tunafika October 2025, chadema itabaki na washangiliaji tu, wapiga kura watakua wameshachukua mirengo mingine.
Jambo muhimu kudhibiti mapambano na mgawanyiko wa mtazamo ktk mambo mbalimbali baina ya Mwenyekiti na Makamu wake nikwamba, ni vema kabla hawajaanza mikutano yao waketi chini pamoja na wakubaliene mambo ya kuzungumza kuliko hali ilivyo sasa.
Ni vigumu sana kwa elite class, religious class, political parties na civil groups kuvumilia ktk hali hii hali ya kua na wao wana malengo na matarajio yao kupitia Chadema. Therefore kujiasemble behind Tundu Lisu huyu alie kosa staha kabisa na asie tambua hata chembe ya mafanikio ya huyu Rais alioko Madarakani hali yakua viongozi wenzie wanayaona na kupongeza ni dhahiri hayuko pamoja na viongozi wenzake, he is one army and ideology.
Mapendekezo:
Opposition Political parties, Religious Groups, Civil groups, Elite class, Citizens and everyone with good will for prosperity of Tanzanians Political, Social, Technological, Cultural and Economic development, let's us assemble behind this Patriotic and Statesman Freeman A. Mbowe, hakuna atakae juta baadae, whether atashinda au atashindwa. Taifa litapiga hatua kiasi kuliko vinginevyo.
That's my take.....
hope to learn from ur opinions....