crdb

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wa CRDB Morogoro Manispaa wanaibiwa fedha zao kwenye akaunti bila wao kujua

    Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
  2. JamiiForums Tanzania KERO CRDB na kero ya kuchelewesha muamala uliofanyika kimakosa

    CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.
  3. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mkopo wa biashara kwenye benki kubwa NMB, CRDB & NBC

    Habari wananzengo, Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ?? Naomba kujua
  4. JamiiForums Tanzania CRDB Yaunga Mkono Diplomasia ya Michezo ya Majeshi

    MONACO - Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya Taifa kupitia sekta mbalimbali kwa kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 81 wa Michezo ya Majeshi Duniani (81st CISM General Assembly) uliofanyika nchini Monaco kuanzia tarehe 1 hadi 9 Mei 2026. Mkutano huo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iimulike CRDB Bank. Inadhulumu wateja kwa kiwango cha ajabu

    Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu . Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua. Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo...
  6. JamiiForums Tanzania Mama Samia ubarikiwe sana kwa hii mikopo ya masharti nafuu kwa wakulima na wajasiriamali nchini pia naipongeza CRDB

    Hii ilikuwa ndoto yangu ya siku nyingi sana na sasa Mama Samia kaitimiza. Binafsi nilikuwa nakerwa sana jinsi mikopo ya halmashauri na mingine ya serikali ilivyokuwa ikitolewa. Ilikuwa haina mfumo mzuri kwenye kutoa hali iliyokuwa inatoa mianya ya watu kujipigia na kutoirudisha. Mimi siamini...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya benki ya CRDB ni unyanga'nyi wa peza za watu

    Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking. Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco nikidhani tatizo lipo upande wao lakini wakanihakkishia kwamba crdb hawaja 'generate' token. Nikachukua...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB Call Center hawapokei simu, ukipata dharura imekula kwako

    Jamii mtupazie sauti CRDB Call Center hawapokei simu, yaani kwakifupi sisi Wateja si kitu pindi unapopata dharura. Ukipiga Call Center inahitaji dakika 10 au zaidi waweze kupokea na mara nyingine hawapokei kabisa unasubiri dakika zote na mwisho simu inakata.
  9. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yadhamini Mei Mosi 2026, yashiriki kikamilifu

    Na Mwandishi Wetu Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2026 yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe. Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Kombe la CRDB: TRA United yaangukia kwa Mnyama, Yanga ikipelekwa jeshini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei. Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
  11. JamiiForums Tanzania CRDB Plc imetangaza gawio 2026 kwa wanahisa

    CRDB Bank Plc imetangaza rasmi gawio (dividend) kwa mwaka wa fedha ulioisha 31 Desemba 2025, na hii ni taarifa muhimu kwa wawekezaji wote wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). DIVIDEND DETAILS(TAARIFA ZA GAWIO) Dividend per share (Gawio kwa kila hisa): TZS 90 Declaration date (Tarehe ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC : CRDB Confederation Cup : 12/4/2026 Sheikh Amri Abeid Arusha

    Baada Ya Kubana, sasa Wanaachia. Dk 60 SSC 2 - 1 DFC
  13. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hisa za CRDB PLC on DSE

    UCHAMBUZI WA CRDB BANK PLC (DSE) 1. Overview ya Kampuni (Business Position) CRDB Bank ni moja ya benki kubwa zaidi nchini Tanzania, ikiwa listed kwenye Dar es Salaam Stock Exchange. CRDB is a tier-1 commercial bank with strong presence in: Retail banking Corporate banking SME financing...
  14. JamiiForums Tanzania Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

    Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms. ATM za CRDB zimejaa wezi Msizitumie. Ukiweka ATM card ile ya kuscan. Ukitoa tu, Wanadetails zako zote. Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu. Wanaiba na hawana aibu.
  15. JamiiForums Tanzania Kukua kwa DSE pamoja na ununuzi wa hisa za CRDB aka Tembo

    Wadau habari za mida, Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe. Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  17. JamiiForums Tanzania NMB wajanja sana, naona wanamu kandia CRDB kidizaini katika hili tangazo

    Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
  18. JamiiForums Tanzania A Question on Service Capacity at CRDB Vijana – Kariakoo

    CRDB Vijana Branch Kariakoo, really needs to rethink its customer experience operations. Kariakoo is one of the busiest commercial areas in Dar es Salaam, especially on Fridays when cash transactions peak. Yet customers often find themselves in very long queues for simple deposits or...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri kombo mgeni rasmi katika uzinduzi wa ofisi ya CRDB Dubai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema uzinduzi wa Ofisi ya Uwakilishi ya Benk ya CRDB Dubai ni kielelezo cha uhusiano mzuri wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…