China lazima iwajibike kwa uzembe iliyofanya Wuhan kusababisha janga la covid-19 Duniani

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Wana JF,
Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019!

Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19.
China imeshakiri kuwa kabla ya mlipuko kulikuwa na Utafiti wa Virusi ulikuwa ukifanyika kwene Chuo hicho cha WUHAN (WIV) na inasemekana kuwa Virusi walivokuwa wanavifanyia uchunguzi ni pamoja na SARS-COV-2 vinavofanana na COVID-19! Mpaka hivi sasa kuna dhana(speculations) nyingi zinasemwa kuhusiana na mlipuko huu:
  1. Kirusi Cha Covid-19 kilitokea na tabia ya Wachina kula soup ya Popo(Chinese Bat Soup).
  2. Kwamba katika uchunguzwa wa SARS-COV-2 inawezekana Kuna UZEMBE ulifanyika na kupelekea kirusi hiki kikatoka kwa Popo,nyoka au ngiruwe na kuingia kwa binadamu.
  3. Kwamba kwa maksudi Wataalamu wa WIV kwa kutumia Genetic engineering walikifanyia utaalamu kirusi Cha SARS-Cov-2 na kutengeneza Covid-19 kama silaha ya Kibailojia (Biological weapons) kwa Mataifa mengine hasidi Kiuchumi na kijeshi.
Hapa kuna hoja za msingi zinazofokirisha . Lakini pia kuna hoja ya kwanini baada ya mlipuko huu Serikali ya China iliruhusu Covid-19 ISAMBAE DUNIA NZIMA lakini wakazuia kusambaa kwa COVID-19 kwenye majimbo na miji mengine ya China kama vile Shanghai,Shenzhen,Ghwanzhou,n.k.

Lakini pia mara tu baada ya China kuhakikisha kuwa Kirusi Cha Covic-19 kimesambaa na kimefika nchi za Ulaya na Marekani, Wachina wakatangaza kuidhibiti Covid-19 nchini kwao na mpaka sasa HAKUNA MAAMBUKIZI WALA VIFO vya Covid-19 nchini China!!!Hapa iko namna!!

Kwa hesabu za maambukizi pamoja na vifo nchini China ilifikia takribani vifo 3400 tu(not confirmed, it can be less than that) Lakini ukija kuangalia nchi ambazo zimeambukizwa(pelekewa Virusi vya Covid-19, vifo ni kwa makumi maelfu! Marekani mpaka sasa Kuna vifo 24,000, Italy-Vifo12,000; Spain 14,000; etc.

Wachina ndiyo waloanzisha mfumo wa Lockdown nchini kwao wakijua kabisa mfumo huo utakwenda kutumika kwa nchi zote na kuvuruga Uchumi wa Dunia nzima na hasa Wapinzani wso Kiuchumi nchi ya Marekani na zingine za Ulaya!

Marekani tayari kesha mlalamikia China na W.H.O kwa UZEMBE huu! Inavoonekana Kuna uhusiano fulani wa Serikali ya China na Shirika la Afya Duniani(W.H.O) kwa KUSHINDWA kuisimamia China kuzuia maambukizi haya kwa muda mwafaka.

Hata baada ya Marekani kujiondoa kwene ufadhili wa WHO kwa kiasi Cha 100m+ USD, China haraka Sana ime inject kiasi Cha 30m USD!!

Nihitimishe kwa kusema kwamba ni wakti wa nchi na Jumuia zote za Kimataifa, Kikanda na Kijamii kupiga kelele,kuhoji kuchunguza na kupata su kupewa majibu sahihi kuhusu Nini kilitokea WUHAN. Iwapo China haitatoa majibu sahihi ya kueleweka basi Umoja wa Mataifa(UN)kupitia Baraza la Usalama la iunde Tume kwenda kuchunguza nchini China chini ya kipengele Cha Nchi yeyote kujihusisha na SILAHA ZA MAANGAMIZI IKIWEMO SILAHA ZA KIBAILOJIA.
Tujadili.Chinese Scientist Says Covid Came From Government Lab In Wuhan: Report
 
Ukomunisti haujawahi kuleta neema popote. ni laana bin laana.

Kwa Principle au tabia za Makomunisti huwa hawa Amini kama Kuna Mungu!
Wako radhi kutoa Uhai au kuteketeza dunia nzima Bora tu wapate walicho dhamiria!
 
China Originated Virus Desease (Covid) 19 nijanga kutoka kwa wachina wala mataputapu kama makonokono,mapopo etc... nikama Ebola ya wakongo wala watu (mbilikimo),mbwa nk.
Tunawasihi mikoa ya iringa na mtwara waache kula mambwa na mapanya watajatuletea Tovid (Tanzania originated virus Desease). Nihayo tuu
 
Mie binafsi nishasema hawa watu kwa hili sito wasamehe milele.

Kuhusu uchunguzi tusahau, washaweka masharti ambayo yanafanya uchunguzi usiwe huru.

Tatizo kubwa dunia inategemea vitu vingi kama sio vyote kutoka China. Inamaanisha dunia ndio inaisadia China ki-uchumi. Mchina yeye ana viwanda vyote bila kujali uchafuzi wa mazingira au haki za binadamu. Nchi za Ulaya na Marekani wao wanalinda mazingira huku wakimtumia Mchina kutengeza kila kitu. Ndio maana hili gonjwa Mchina kaanzisha lakini leo yeye ndio huyo huyo anatuuzia vifaa vya kupambana na ugonjwa huo huo; hapa unawezaje kupambana nae?

Mmarekani deni lake kubwa anadaiwa na Mchina. Yap na wao pia wana deni kwa Mchina kama sisi.

Kwahio Mchina ana jeuri sana. Mpaka siku ambayo nchi zitaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe na kuacha kuagiza kila kitu kotoka China, ndio tutaweza kumfanya awajibike.
 
Ulichoandika umeongea ukweli mtupu...!
Mmarekani peke yake ndie anaweza kumtunishia misuli Mchina Kama ataungwa Mkono na nchi zingine.
 
So Kim Jong Un amefariki marekani atengeneze nuclear weapons pekeyake?! Movie inakamilika
 
Ulichoandika umeongea ukweli mtupu...!
Mmarekani peke yake ndie anaweza kumtunishia misuli Mchina Kama ataungwa Mkono na nchi zingine.
Kwanza asante kwa uchambuzi mzuri kwenye thread yako.

Nakubaliana Mmarekani anaweza kumtunishia misuli sana sana chini ya Trump. Na nahisi ni kweli kama ulivyosema inawezekana Mchina katumia hii kama biological weapon kutokana na vita vya tarrifs ambavyo Trump ameanzisha. Matokeo yake katibua uchumi wa dunia nzima.

Tusubiri Marekani watajibu vipi baadae hali ikitulia.
 
Back
Top Bottom