covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Cannabis

    Nani anayehusika kupeleka takwimu za maambukizi ya COVID-19 Africa CDC?

    Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo 50. Je, hizi taarifa ni rasmi ? Kuna makosa yaliyofanyika au ni hujuma ? Kuna umuhimu wa jambo...
  2. B

    Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?

    Amesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini. Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani? Inachukua muda gani kujua idadi ya wagonjwa waliolazwa mkoa kwa mkoa, vifo au waliopona? Hapa tuna mwenzetu mwingine...
  3. Miss Zomboko

    Agosti 22 kuwa siku ya kupata Chanjo kimkoa kwa Dar es Salaam

    RC wa DSM Amos Makala ametoa siku ya jumapili wiki hii kuwa siku ya chanjo kimkoa katika uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 10 jioni kwa Watu wote bila kuangalia umri na endapo hawatomaliza kwa muda huo, mda utaongezwa mpaka wote wamalizike. RC Makala amesema sababu ya kuweka siku...
  4. Behaviourist

    Mahakama yafuta agizo la Rais kupiga marufuku mikutano ya umma na kisiasa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

    Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya kisiasa nchini humo katika kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya UVIKO 19. Jaji Mrima amesema agizo hilo lilikuwa kinyume cha katiba...
  5. L

    Chanjo ya COVID-19 Tanzania: Mwelekeo mzuri, bado safari ni ndefu

    Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
  6. mshale21

    Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

    WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti' Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure. Amesema...
  7. robinson crusoe

    UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

    Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina...
  8. N

    Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

    Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake. CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
  9. L

    Tuheshimu moyo wa kujitolea wa madaktari

    Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita madaktari wameonyesha umuhimu mkubwa katika jamii yetu, kwani wao walikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Tunakumbuka mwanzoni wakati janga hili linaanza, baadhi ya madaktari walilazimika kufanya kazi kwa muda mrefu, na kuna...
  10. blance86

    Dotto Bulendu: Kwenye hili la chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati

    Kwenye hili la Chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati. Na Dotto Bulendu(MwanaPuge),nikiandika kutoka kijijini Puge. ::::::::::::: Vita ya hoja juu ya Ugonjwa wa Corona nchini kati ya Ndugu wawili ,Dr Doroth Gwajima (MB) na Waziri wa Afya dhidi ya Shemeji yake Askofu Josephat Gwajima (Mb)...
  11. L

    Corona bado inafikirisha sana

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanini wanamichezo hasa wachezaji mpira, riadha n.k hawasumbuliwi na Covid -19? Wengi wamekutwa na virusi lakini hawalazwi wanaendelea na mazoezi au kucheza mechi pia kama vile hawana chochote kwenye miili yao. Wengi pia hupona bila kutumia dawa yoyote maana...
  12. BAK

    Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans COVID-19

    Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans 'Screw your freedom': Schwarzenegger calls out anti-vaxxers Washington (CNN)Top health officials in the Biden administration are coalescing around an agreement that most Americans should get Covid booster shots eight...
  13. Naipendatz

    Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima -- Butiama. Waziri wa...
  14. W

    TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19. Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest) Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa...
  15. Suley2019

    Kadi chanjo ya COVID-19 kulipiwa Sh 20,000 Zanzibar

    Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa kulipia Sh20,000. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui...
  16. L

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  17. kavulata

    Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na wasiwasi kuhusu kuchanja chanjo ya covid 19. Hofu yangu kubwa kuliko zote ilikuwa kuganda kwa damu yangu baada ya kuchanja. Lakini Mimi ni miongoni mwa watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja...
  18. Shadow7

    Amid shortages, Africans scramble to be fully immunized

    KAMPALA, Uganda -- At a COVID-19 vaccination site in the Ugandan capital, Kampala, tempers flared among those waiting for scarce AstraZeneca jabs, with some accusing others of trying to jump the queue. Nurses intervened, telling them the accused had been waiting since the previous day and...
  19. Informer

    Wizara ya Afya: Watanzania 207,391 wamepatiwa Chanjo ya UVIKO-19 hadi Agosti 14, 2021

Back
Top Bottom