covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. mshale21

    Uviko-19 wadaiwa kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, tukachanje tuepuke tatizo

    Dar es Salaam. Madaktari wamebaini kuwa virusi vipya vya Uviko-19 vinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Hata hivyo takwimu za mwisho zilizotolewa na Wizara ya Afya nchini Agosti 15, zilionyesha kuwa walengwa 207,391 wamepatiwa chanjo ya Uviko-19 mpaka kufikia Agosti 14 mwaka huu...
  2. beth

    Marekani: Mashabiki wa Tennis watakiwa kuonesha ushahidi wa kupata chanjo dhidi ya COVID-19

    Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha ushahidi wa kupata angalau dozi moja ya chanjo. Michuano hiyo ilifanyika bila Mashabiki mwaka 2020 ======...
  3. Mag3

    Texas, US: Man who organized anti-mask Freedom Rally now on a ventilator after catching COVID

    A Texas man who had organized a “Freedom Rally” in protest of COVID-19 restriction is now on a ventilator after becoming infected with COVID, according to his pregnant wife. On Wednesday, Jessica Wallace posted a “heartbreaking update” about her husband Caleb. “It’s not looking in our favor,”...
  4. Jamii Opportunities

    COVID-19 vaccination focal point at UNRCO / un volunteer

    Eligibility criteria Minimum age: 22 years old. Applicants must be nationals of or legal residents in the country of assignment. Description of task Under the direct supervision of the RCO Health Advisor and the Local Vaccine Deployment Coordinator, the national UN Volunteer will undertake the...
  5. beth

    Australia yarekodi visa 1,000 kwa mara ya kwanza tangu mlipuko kuanza

    Kwa mara ya kwanza tangu mlipuko wa Virusi vya Corona kuanza, Taifa hilo limerekodi visa vipya zaidi ya 1,000 huku Hospitali mbili ambazo ni kubwa zaidi Jijini Sydney zikiweka mahema nje ili kusaidia kukabiliana na ongezeko la wagonjwa Sydney imetajwa kuwa kitovu cha mlipuko mpya Nchini...
  6. beth

    Waziri Mkuu awataka Watanzania kuachana na wapotoshaji na kusikiliza wataalam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya COVID19. Asema ni muhimu kuchanja kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa. Ameeleza, "Hii sio Chanjo ya kwanza, tumechanja Magonjwa mengine. Nawasihi achaneni na wapotoshaji. Watu...
  7. Miss Zomboko

    YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita. Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
  8. Kididimo

    Kama tumejiridhisha chanjo ya COVID-19 ni bora, tutangaze chanjo lazima kwa kila mtu ili kunusuru Taifa

    Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha. Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi ya wiki mbili hivi tangu kuchanjwa. Pia, nimeangalia matukio ya halaiki kama mpira wa miguu katika...
  9. L

    “Hadithi ya Miji Miwili” toleo la kisasa: michango ya China na Marekani katika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19

    Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
  10. The Sheriff

    Dakar, Senegal: Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre afariki kwa COVID-19 akiwa gerezani

    Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha maisha nchini Senegal kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, amefariki dunia. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne na Waziri wa Sheria wa Senegal Malick Sall alisema Jumanne. Habre alikuwa na miaka 79...
  11. Suley2019

    IMF kutoa dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupambana na Covid-19

    Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19. . IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza...
  12. H

    Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
  13. J

    Nani anapaswa kupata chanjo ya COVID-19?

    Chanjo za COVID-19 ziko salama kwa watu wengi wenye umri wa miaka 18 na zaidi, na hata wale wenye changamoto za kiafya kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari, pumu, magonjwa ya mapafu, ini figo pamoja na mengineyo. Inashauriwa kuwa endapo kuna ufinyu wa chanjo katika eneo lako, ni...
  14. J

    Chukua tahadhari zote za Covid-19 hata baada ya kupata chanjo

    Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa unapopata Chanjo za COVID-19 hazidhibiti mwili kutopata #COVID19 kwa mara nyingine. Chanjo zinaepusha mwili kupata homa kali na vifo vitokanavyo na COVID-19. Baada ya kuchanjwa unapaswa kundelea kuchukua tahadhari zote kama kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa...
  15. Lord OSAGYEFO

    Askofu Gwajima na Humphrey Polepole walitoa matamko dhidi ya chanjo, kwanini ahojiwe Askofu Gwajima tu?

    Wadau mtakumbukwa hili Sakata la Chanjo hata Humphrey Polepole alitia neno linalofanana na neno la Askofu Gwajima. Cha Kushangaza kaitwa Askofu Gwajima au Polepole tunamkuta chini ya bakuli tunywe kunza mchuzi
  16. beth

    China haijarekodi maambukizi ya ndani kwa mara ya kwanza tangu Julai, 2021

    Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa. Tangu Julai 20 zaidi ya watu 1,200 walithibitishwa kupata maambukizi ya Virusi vya Corona China. Hata...
  17. jitombashisho

    Ipo siku Askofu Gwajima atatumiwa na CCM kuinusuru kubaki madarakani kwa kumteua mgombea wao wa Urais

    Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe. Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru nakutamani kubakia madarakani kitalazimika kumteua Gwajima awe mgombea wao u Rais. Kwa namna ya sifa...
  18. Miss Zomboko

    Waziri Mkuu wa Australia atetea kufungwa shughuli za umma kupambana na COVID-19

    Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ametetea mkakati wa taifa hilo wa kuzifunga shughuli za kawaida kama sehemu ya juhudi za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona hadi angalau asilimia 70 ya watu wa nchi hiyo watakapopata chanjo ya virusi hivyo. Akizungumza kwenye mahojiano na shirika la...
  19. Kipenzi Changu

    Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

    KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu. SOMA ZAIDI: Kilichomuua Mwalimu Kashasha hiki hapa Hutasikia tena ile misemo, mbwembwe zake akitangaza...
  20. Chagu wa Malunde

    Waziri Gwajima, tumia busara na elimu yako kuinadi chanjo ya UVIKO -19, usitumie mabavu kama ulivyoinadi nyungu na Bupeji

    Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao, tangawizi na pilipili na kuwaaminisha Watanzania kuwa hiyo ni kinga na tiba ya Uviko-19. Limekuja suala la chanjo ya...
Back
Top Bottom