Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,267
Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks 😷 zako na familia yako.
Fanya malipo kwa mobile money.
Tembea na hand sanitiser.
Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.
Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa. Usipompa mkono mtu na huyo mtu ana pumua na kupiga chafya katikati ya mazungumzo yenu utakuwa umeuwepuka ugonjwa kweli?
Ikitokea una mgonjwa nyumbani, vaa masks wakati unamhudumia. Nawa mikono kila baada ya huduma hata ukimpa maji ya kunywa.