Donald Trump Kaishinda corona, Kavua Mask na Kurejea Mzigoni!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,785
Mungu Mbariki D.Trump!
Rais Trump wa Marekani amerejea Ikulu baada ya kutoka hospitali alipowekwa baada ya kukutwa na Virusi vya Corona

Amevua barakoa baada ya kufika ikulu

Mwanzo mpinzani wake Joe Biden alisema Donald alipata Virusi hivyo kwa kuwa kwenye kila mdahalo alikuwa havai barakoa
 
Wamarekani wa kila ngazi hawamuwezi Trump.
Wale wanaopenda raisi mwenye kuheshimu watu wameshindwa kumlazimisha kufanya hivyo
Wale wanaotaka asiwe mbaguzi hawajaweza
Wanaotaka aigope corona nao pia hawajaweza kumzuia kuidharau corona hadharani.
 
Mimi nafikiri angesubiri walao wiki mbili zipite ndio awe na uhakika kwamba ameshinda gonjwa la COVID-19, virusi hivi ni highly unpredictable - chochote kinawezq kumtokeacl when he least expected - dropping dead in the middle of the road, hii inatokea Mara nyingi tu, Trump asije akajidanganya.
 
Back
Top Bottom