corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Hivi Corona bado ipo?

    Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali. Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel haipigani tena na Hamas.Inaua watu kinyama.Dunia isimame kabla janga kuliko corona halijatokea.Tanzania kwa uchache iitishe maandamano kulaani

    Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo Uchunguzi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Video: Bora corona kuliko CCM

  4. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

    Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Corona mpya?

    Ndugu tuwe makini nimeona dadili za corona tena inaweza kuwa kali kuliko zilizopita. Mambo yote huanza kama tetesi. Nina dots chache hapa: 1. Vifo vya ghafla vya watu maarufu wawili nchini. Haijasemwa directly nini kimewatoa but maelezo ya daktari yanaashiria ni masuala hayo 2. Mamangu mzee...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ‘Rockerfeller Document’ ya mwaka 2010 iliyotoa maelekezo ya kusambaza ugonjwa wa Corona duniani

    Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake. Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri juu ya Toyota Corona

    Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
  10. M

    JamiiForums Tanzania DONALD TRUMP: The world has finally waken up to the truth about Coronavirus

    PRESIDENT Donald Trump has been proven right about the origins of Covid-19 coming from a Chinese lab. Writing for DailyMail – Mr Trump, who is running for president in the United States again declared: “Three years ago, I declared that almost certainly [that it] came from the Chinese lab. Now...
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  12. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Toyota Corona Vs Allex VS Carina TI ninunue ipi?

    Wakuu njia yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi, kipato changu cha kawaida, safari yangu kwenda na kurudi home ni km 110, kati ya hizo, Corona,Carina Ti na Allex nichukue ipi? Kipimo ni uvumilivu rafu road, ulaji kidogo mafuta, uimara wa gari, upatikanaji spea.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wimbi jingine la Corona linapopita angani

    Imekuwa kawaida kwa mawimbi ya hii ngwengwe kukatiza duniani mwishoni mwa mwaka kuelekea mwanzoni mwa miaka mipya. Rejea historia, mengi yanajiongelea menyewe. Tayari nchi kadhaa zikiwamo India, Japan na Marekani zimechukua tahadhali na wasafiri ndugu zetu damu damu kutokea pande za China...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali, hata haya hamyaoni?

    Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi. 2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wachina washikamana kukabiliana na virusi vya Corona

    Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
  16. emback

    JamiiForums Tanzania corona Premio 7afe

    habari zenu ndugu nnahitaji gear box ya manual na vikorokoro vyake vyote. gari ni corona premio 7afe ya 1998. mawasiliano...0710882764
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuhamasishe watu Kuchoma Kinga ya Corona. Tuliochoma Tujitokeze hapa kushuhudia

    Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko. Serikali kwa upendo iliamua kusambaza chanjo. BURE KABISA. watu wanaonekana kujisahaulisha jinsi Covid 19 inavyoua. Tumeona watu...
  18. kopites

    JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺 ⚫Poleni sana Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure. "Msidhani kua...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Star tv na tangazo lenu la corona na kuvaa barakoa leo hii siwaelewi.

    Star tv ina mambo ya kishamba sana sasa lile tangazo lenu la kuvaa barakoa leo hii linamaana gani?
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO): Mwisho wa Ugonjwa wa COVID-19 unakaribia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
Back
Top Bottom