USHAURI: Toyota Corona Vs Allex VS Carina TI ninunue ipi?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,134
Wakuu njia yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi, kipato changu cha kawaida, safari yangu kwenda na kurudi home ni km 110, kati ya hizo, Corona,Carina Ti na Allex nichukue ipi?

Kipimo ni uvumilivu rafu road, ulaji kidogo mafuta, uimara wa gari, upatikanaji spea.
 
Yaani kwako hd kazini ni km 110 duh pole sana inamaanisha utatumia lita 10 hadi 8 za mafuta kila siku aisee

Anyway kwa kua ni off road corona is the best kwa sababu ina body gumu go for. It
ndiyo mkuu,nakaa chanika nafanya shughuli kibaha kwa mathias,kuna shoti kati ya pugu kona unaenda tokeza mbezi kifuru,ndo kipande cha rafu rodi,ambayo ni km 90 kwenda na kurudi,ila nikipitia njia panda segerea hapo banana,zinafika 110km
 
Chukua Allex au Run X ya cc 1490 1NZ-FE. Hii gari ata ukiweka Korie badala ya engine oil inatembea. Mjapan hapo alitengeneza engine aisee. Hafu ukaji wa mafuta mzuri sana. Unaweza gusa 14km/L rough road na ikafika 18-20km/L highway.
Inaweza kula mafuta kidogo kuliko corolla 1300cc au kile ki Premio cha old model au carina TI cc 1490.

Tena ukute ni manual.
 
Kila siku utembee kilmt 110 HV unamdanganya Nani na kwa faida gani mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kawaida tu.

Kuna mtu anakaa Arusha anafanya kazi Moshi, kila siku kasoro jpili anangurumisha Harrier tako la nyani kwenda na kurudi.

Na mwingine anakaa Bagamoyo anafanya kazi UDSM kila siku anaenda na kurudi.
 
IMG_1200.jpg

IMG_1199.jpg
 
Chukua gari hybrid ambayo inatembea 30 km kwa lita kuliko magari ya kizamani. Chukua toyota prius inaenda km 32 kwa lita. Na bei yake ni around 15 hadi 18 milkwa kilomita zako hizo utashangaa unatumia lita 4 tu za mafuta ambayo ni around elf 10
Prius pia inamudu rough road
 
wakuu njiya yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi,kipato changu cha kawaida,safari ya ngu kwenda na kurudi home ni km 110,kati ya hizo,corona,carina ti na allex nichukue ipi,kipimo ni,uvumilivu rafu rodi,ulaji kidogo mafuta,uimara wa gari,upatikanaji spea,,,msaada wakuu.
Utasikia mengi sana, lakini shika hili la dereva mkongwe na mmiliki wa hizo gari, nunua Carina yenye 1490cc

Over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom