corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mkanganyiko wa chanjo ya Corona

    Baada ya mheshimiwa Rais Samia kutoa mwelekeo wa taifa kuhusu mapambano ya Corona zimeibuka hoja nyingi sana hasa kuhusu hizi chanjo. Jana nilipata nafasi ya kumtembelea rafiki yangu hapa Morogoro. Nilichokisikia sikuamini. Watumishi wengi wa kada moja iliyopewa kipaumbele cha kupata hawataki...
  2. kavulata

    Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

    Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
  3. Shujaa Mwendazake

    Haonga aombe radhi kwa upotoshaji kodi za Mbolea; Rais amesema Corona ndo chanzo cha kupanda bei ya Mbolea

    Leo wakati wa hotuba yake baada ya kuapisha mabalozi Mh Rais alijaribu kuhusiana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini , jambo ambalo linaonekana wazi kuwa litaleta athari sana katika suala letu la chakula hapo mwakani. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kupanda kwa bei ya mbolea nchini kumetokana...
  4. Suley2019

    Viongozi wa dini wakubali kufata maelekezo ya Wataalamu wa Afya katika kukabiliana na Covid-19

    Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu na wanasayansi ikiwemo maamuzi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa huo. Kauli ya viongozi hao imekuja siku chache baada ya chanjo zaidi ya milioni 1 za Covid - 19...
  5. mngony

    Tuna la kujifunza; Mama Mghwira mwaka alijitangaza kuumwa Corona na kupona, lakini mwaka huu...

    Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako Kufutia kuumwa kama tulivyoambiwa na familia ugonjwa wa changamoto ya kupumua, Mama yetu Mghwira Mungu...
  6. Analogia Malenga

    Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  7. B

    Corona: Bila Barakoa Dar, Hupandi hata Daladala

    Taratibu tunasonga na uelekeo huu si mbaya. Bila barakoa tusionane kwenye usafiri wa umma yaani mabasi zikiwamo dala dala na ferry. Tusionane pia sokoni wala popote penye mikusanyiko. Hili si ombi bali rasmi ni lazima. ----- My take: Ugonjwa huu ni hatari. Hatua hizi ni muafaka pole pole...
  8. S

    CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  9. ROJA MIRO

    SoC01 UTENZI: Kuipenda Tanzania, Ni Corona Kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua, Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia, Afya zetu kuokoa...
  10. Recipient

    Tozo ya miamala, Ugaidi wa Mbowe na Ujio wa Chanjo ya Corona

    Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi. Wakati hili la...
  11. Fundi Madirisha

    Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  12. kavulata

    COVID-19 inaua, isitumike kisiasa dhidi ya wapinzani

    Tanzania sio kisiwa, kila tunachokifanya kwenye mapambano dhidi ya Covid 19 kinavuka mipaka na kuonekana duniani kote. Ni wazi kuwa sasa tumekubaliana kuwa maambukizi ya COVID-19 yapo hata Tanzania, na kuna wenzetu wameugua, wanaugua na waliokufa na wanaokufa kwa ugonjwa huu. Katika hali hiyo...
  13. R

    Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

    Simple logic inaniongoza hivi: 1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained. 2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated 3. And to...
  14. 666 chata

    Ni kwanini tunaulazimishia kwa nguvu zote ugonjwa wa Corona kuwa umerudi upya?

    sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa! jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary...
  15. ROJA MIRO

    Utenzi:-Kuipenda Tanzania, Ni Corona kuzuia

    1.Kila mtu anajua, Kiloikumba dunia, Huruma itakujia, Habari ukisikia, Kwa kubwa asilimia, Wengi wakiangamia, Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia. 2.Vifo vinavyotokea, Afrika na eshiaa, Italia na India, Kote wanaugulia, Kikubwa kilobakia, Tahadhari kuchukua, Na tusione udhia,Afya...
  16. funaku

    Kamwe hatuwezi kuishinda corona kwa kutegemea misaada

    Bunge la bajeti limepita bila mpango maalumu wa kukabiliana na corona. Hatima yake tunataka kuwekeza mapambano dhidi ya corona kwa kitumia hisani za WHO,USA n.k. Tuamshe bongo zetu na tuje na majibu kamili
  17. Cannabis

    Dkt. Kigwangalla adungwa chanjo ya Corona aina ya Sputnik V

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi. Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa...
  18. Miss Zomboko

    Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  19. Cannabis

    Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
  20. Analogia Malenga

    Dkt. Dorothy Gwajima: Tusifanye mzaha na Janga la Corona

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo. Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari...
Back
Top Bottom