corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

    Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa...
  2. Kasomi

    Jinsi Corona inavyoweza kuwa Fursa kwa jamii

    Hapa nitatolea mfano ambao upo unaishi jinsi mjasiriamali anavyo weza badili Tatizo kua Fursa. Dunia nzima bila shaka umekubwa/Ishawahi kukubwa na janga hili la CORONA Tangu mwaka 2019 ikiwa ni covid 19. Kwa wajasiriamali Kuna slogan ambayo hupenda kuitumia kwamba Badili Tatizo kua Fursa...
  3. B

    Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

    Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: “Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima." Mwenye masikio na asikie...
  4. Kasomi

    Je, Tanzania tutegemee lockdown tena?

    Je, Tanzania Tutegemee Lockdown Tena? Katika wimbi la tatu la CORONA Tanzani itakua chini ya Vizuizi vya kutoka nje? Hapo jibu ni hapana kwa mjibu wa majibu ya Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba Tanzania tusitegemee tena kuwepo kwa lockdown ( Vizuizi). Hii ni kwasababu Nchi...
  5. Analogia Malenga

    Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  6. B

    Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara

    Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...
  7. Shujaa Mwendazake

    RC Shinyanga na M/Kiti BAVICHA Iringa,mabishano yenu kuhusu hali ya Corona Hospitali ya Shinyanga hayana tija

    Baada ya M/Kiti wa BAVICHA Iringa ,Ndugu Vitus Nkuna kualalmika kuwa Hospitali ya Mkoa ya Shinyanga ina Scarcity ya mitungi ya gesi ya Oksijen na wagonjwa wa Corona kuwa wengi, hatimaye mkuu wa mkoa wa Shinyanga naye amekuja juu na kumtuhum kwa upotoshaje. Pia alikwenda mbali zaidi kwa kutaka...
  8. Shadow7

    RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
  9. J

    Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani. Chanzo: ITV habari Nawasalimu kwa jina la JMT!
  10. T

    Tunaambiwa na Serikali tuchukue tahadhari ya Corona lakini matukio mengi ya chama na Serikali hayana hiyo tahadhari

    Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona? Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
  11. Analogia Malenga

    Uganda: Aua mtoto wake kwa kutopokea fedha za COVID19

    Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
  12. B

    Serikali toeni takwimu kwa mujibu wa mapendekezo

    Inafahamika kuwa tume ya wataalamu iliyoteuliwa kushauri kuhusiana na ugonjwa huu ilitoa mapendekezo yake. Inafahamika kuwa % kubwa ya mapendekezo ya tume hiyo yamepokelewa na yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Hata hivyo katika yote, mawili haya yangalipo yakielea angani yakiendelea...
  13. B

    Corona, Katiba - Hatujishangai Wenyewe?

    Mkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation: 1. Wanathamini msukumo wa Mama Samia kupambana na janga hili la Corona kisayansi 2. Wanathamini msukumo mpya wa serikali kuelekea chanjo 3. Wanaelezea umuhimu wa chanjo 4. Wanaelezea...
  14. Suley2019

    Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  15. Shujaa Mwendazake

    Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

    SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
  16. Shujaa Mwendazake

    Waziri wa Afya: Watu 408 wamebainika kuwa na Corona , 284 wakiwa katika mashine za oksijeni

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi ya oksijeni. Dk Gwajima ametoa taarifa hiyo leo Jumamosi Julai 10, 2021 wakati akitoa elimu ya...
  17. Cannabis

    RC Kigoma: Mkoa una wagonjwa 12 wa Wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID-19

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye athibitisha mkoa wake kuwa na wagonjwa 12 wa CoVID-19, RC Andengenye amesema kuwa miongoni mwao 6 wanatibiwa hospitalini na wengine wamejitenga nyumbani. ==== Mkoa wa Kigoma umeripotiwa kuwa na wagonjwa 12 wa Corona ambapo wengine wamejitenga...
  18. J

    Waziri Gwajima: Elimu kuhusu Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya. Kirusi kinabadilika badilika siyo kama mwanzo!

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari. Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya...
  19. beth

    Tunisia: Serikali yasema Virusi vya Corona ni janga

    Serikali imesema hali ya COVID19 ni janga na Mfumo wa Huduma za Afya umekufa. Hospitali za muda mfupi zimeanzishwa kote Nchini humo lakini Wizara ya Afya inasema hazitoshi, na wana changamoto ya utoaji Oksijeni Taifa hilo limekuwa likirekodi idadi kubwa ya maambukizi ambapo visa 9,823 na vifo...
  20. Erythrocyte

    Askofu Mwamakula ampongeza Freeman Mbowe kwa kutangaza hadharani kwamba Kaka yake kafa kwa Corona

    Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe, kuwa ni COVID 19, huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano, Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania. Mbowe sasa rasmi ni...
Back
Top Bottom