Msaada tafadhali kwa wajuzi wa computer

Maisha001

Member
Nov 13, 2019
77
42
Heshima kwenu wakuu.

Nahitaji kufanya biashara mtandaoni, ambapo kwa muda mwingi nitakuwa online. Kwa kuwa mimi si mjuzi wa computer, ni computer ipi inaweza kunifaa:

- Yenye ukubwa (Ram & storage)

- Yenye uwezo mkubwa wa internet

- Inayoweza kukaa online 24/7 bila shida

Kwa uchache naweza kusema hayo,ila kama kuna maelezo mengine ya ubora Wajuzi mwaweza kuongezea. Natanguliza shukrani wakuu!
 
KAMA PESA IPO NUNUA MASHINE HII
MICROSOFT SURFACE BOOK2 ( 13.5) INCH
*CPU : INTEL CORE i5.7300 ipo na intel i7
Graphics: Intel UHD Graphics 620; Nvidia Geforce GTX 1050 ( 2GB GDDR VRAM)
*RAM : 8GB to 16 GB
*SCREEN : 3000 × 2000
*STORAGE : 256 to 1TB SSD
 
Gen ya 7 imepitwa sana na wakati zama hizi.
 
Heshima kwenu wakuu.

Nahitaji kufanya biashara mtandaoni, ambapo kwa muda mwingi nitakuwa online. Kwa kuwa mimi si mjuzi wa computer, ni computer ipi inaweza kunifaa:

- Yenye ukubwa (Ram & storage)

- Yenye uwezo mkubwa wa internet

- Inayoweza kukaa online 24/7 bila shida

Kwa uchache naweza kusema hayo,ila kama kuna maelezo mengine ya ubora Wajuzi mwaweza kuongezea. Natanguliza shukrani wakuu!
Budget yako ni kiasi gani?
 
Njoo
Nikuuzie Dell dimension PENTIUM 2
HDD 40 GB
RAM 512 MB
SPEED 1.6GHZ
Bei elfu themanini tu
Nakupa na monitor ya inch 15 ya kichogo bure .
Hii inakutosha kwa kazi yako achana na hizo za bei kubwa mbwembwe tu
 
Sawa,japo sijajua uko serious kiasi gani kusema hivyo!
 
Tafuta mashine ya Ryzen 5, sema sijui kama mitaa yetu zimeanza kuingia. Laptop zake zinaanza dola 350 ambayo ni kama hio budget yako.

Alternative ukikosa i3 gen ya 8 kuendelea inapatikana kwa hio budget hapa hapa Tanzania.
Shukrani Sana mkuu Kwa msaada Makini! Kwa update yoyote nitashukuru pia
 
KAMA PESA IPO NUNUA MASHINE HII
MICROSOFT SURFACE BOOK2 ( 13.5) INCH
*CPU : INTEL CORE i5.7300 ipo na intel i7
Graphics: Intel UHD Graphics 620; Nvidia Geforce GTX 1050 ( 2GB GDDR VRAM)
*RAM : 8GB to 16 GB
*SCREEN : 3000 × 2000
*STORAGE : 256 to 1TB SSD
Shukrani Sana mkuu,update zozote karibu...
 
Kamwene kamwene

Hiyo yaweza kuwa mil 1.7+ mpaka 2+
Huenda lakini mfuko wake uko vizuri. Lakini yeye sana sana naona anataka kubrowse internet tu.

Ni gharama kweli mkuu lakini nimemchagulia mashine ambayo hatojutia maisha yake,ndio mana nilimuuliza kwanza budget yake..
Biashara yake ikichanganya nafikiri atahitaji Computer yenye uwezo kama iyo
 
Ni sahihi mkuu,muhimu ni ufanisi wa kazi. Budget inaweza kuwa adjusted kulingana na uhitaji unaokuwepo Kwa wakati.

So what is best nijulishe bila kujali gharama!
 
Mkuu ni lazima mpya? Kuna laptop anatumia mzungu boss wetu hapa anaondoka soon na hataki kuondoka nayo anaiuza, kama upo interested nikuletee specifications zake.
Ni vema kuwa mpya japo si lazima. Ila Kwa hii hapana nashukuru mkuu.
 
Tafuta mashine ya Ryzen 5, sema sijui kama mitaa yetu zimeanza kuingia. Laptop zake zinaanza dola 350 ambayo ni kama hio budget yako.

Alternative ukikosa i3 gen ya 8 kuendelea inapatikana kwa hio budget hapa hapa Tanzania.
Mkuu Chief-Mkwawa naweza kujua kidogo kuhusu mashine ulonipendekezea? Na Kwa nini mapendekezo haya,tafadhali mkuu!
 
Amd Ryzen 5 ni equivalent ya intel core i5 kwenye laptop,

Mfano ryzen 5 3500u benchmark yake
Screenshot_20191129-172133.jpg

Na i5 8250u benchmark yake
Screenshot_20191129-172221.jpg

Japo intel ana advantage kwenye single thread perfomance ila gape ni dogo sana.

Hizo laptop za hio i5 kibongo bongo ni miliioni na nusu kupanda. Hivyo kwa chini ya milioni unapata laptop yenye processor ya kisasa kabisa.

Na ukumbuke hizi ni processor mpya hii ryzen 5 ina nguvu kushinda i3/i5/i7 zote za zamani gen ya 7 kushuka chini.

Haishii hapo tu pia hii ryzen 5 ni Apu ina processor na graphics pamoja, Gpu yake inaitwa Vega 8, hivyo kwa bei rahisi tena utapata laptop yenye gpu nzuri bila kutoa hela zaidi kununua laptop yenye dedicated graphics.

Mambo mengine kama ram utapata za kisada ddr4, utakuta ssd ama hdd ya kutosha etc.

Ryzen 5 2500u ni rahisi zaidi laptop zake ila jiandae na ukaaji chaji chini ya masaa 4

Ryzen 3500u inakaa na chaji sawa na wenzake wa intel zaidi ya masaa 7.
 
Amd Ryzen 5 ni equivalent ya intel core i5 kwenye laptop,

Mfano ryzen 5 3500u benchmark yake
View attachment 1276314

Na i5 8250u benchmark yake
View attachment 1276316

Japo intel ana advantage kwenye single thread perfomance ila gape ni dogo sana.

Hizo laptop za hio i5 kibongo bongo ni miliioni na nusu kupanda. Hivyo kwa chini ya milioni unapata laptop yenye processor ya kisasa kabisa.

Na ukumbuke hizi ni processor mpya hii ryzen 5 ina nguvu kushinda i3/i5/i7 zote za zamani gen ya 7 kushuka chini.

Haishii hapo tu pia hii ryzen 5 ni Apu ina processor na graphics pamoja, Gpu yake inaitwa Vega 8, hivyo kwa bei rahisi tena utapata laptop yenye gpu nzuri bila kutoa hela zaidi kununua laptop yenye dedicated graphics.

Mambo mengine kama ram utapata za kisada ddr4, utakuta ssd ama hdd ya kutosha etc.

Ryzen 5 2500u ni rahisi zaidi laptop zake ila jiandae na ukaaji chaji chini ya masaa 4

Ryzen 3500u inakaa na chaji sawa na wenzake wa intel zaidi ya masaa 7.
Urahisi wa Ryzen 5 2500u tofauti na Ryzen 5 3500u umemaanisha matumizi au gharama mkuu?
 
Back
Top Bottom