common

IBM Power Systems is a family of server computers from IBM that are based on its Power processors. It was created in 2008 as a merger of the System p and System i product lines.

View More On Wikipedia.org
  1. Candela

    Napendekeza kwa mazingira mengine Polisi wafanye kazi kwa kuzingatia muktadha tukio kuliko kufuata protokali

    Linapotokea tukio mtu kauwawa mara nyingi tunaita polisi wachukue mwili, lakini pia inapotokea mtu kajiua tunawaita polisi. Kuna ile mtu kajiua kwa sumu au kujinyonga ndani kwake, nitolee mfano tukio lililotokea mtaani. Polisi walijulishwa kuwa kuna mtu kanywa sumu, wakafika eneo la tukio na...
  2. Jamii Opportunities

    Common Back Office Manager at WFP March, 2024

    Position: Common Back Office Manager at WFP March, 2024 KEY ACCOUNTABILITIES (not all-inclusive) A. Coordination of the governance arrangements: Establish and consolidate the CBO in Tanzania as an integrated center of services meeting with efficiency operational needs of its clients, based on...
  3. J

    Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

    Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani! Maandalizi Mema ya Sabato 😀 --- Boris Johnson says more "common sense" should be used at...
  4. Buyaka

    Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  5. M

    Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

    Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu. Jambo...
  6. R

    Tuongee science kidogo: Why is the principle of simple common sense not accepted in mathematics?

    Tupumzishe siasa kidogo kwa ku refresh mind with intellect thinking. Angali common sense kwanini haikubaliki always kwenye maths and other fields of science. Common sense itakwambia kuwa kila inapoongezeka dot moja, maumbo yanakuwa mara dufu! Lakini inapotokea dot sita, common sense inakuwa...
Back
Top Bottom