comment

No comment is a phrase used as a response to journalistic inquiries which the respondent does not wish to answer. Public figures may decline to comment on issues they are questioned or have nothing to say about the issue at the time.
No comment indicates that the speaker does not choose to say anything on the subject, and it is automatically invalidated if the speaker then comments or answers questions. It is not a request for the material to be considered off the record or otherwise kept confidential. If the speaker wishes to talk about the subject, but does not wish to be named as a source, he must obtain the journalist's explicit agreement in advance that the response is not to be used for attribution.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  2. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko LONDON BOY
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana, mawaziri wanazuia comment kwa wananchi kwenye jumbe zao, wengine wanawablock au kuhide comment

    Tumefika huku, waziri anatoa ujumbe alafu anazuia comment, Rais atoa ujumbe then anablock wananchi wake au anahide comment za wananchi, yani ni mwendo wa matofali tu, sijui kwa nini tumefika hapa
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

    Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi. Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG. Hongereni...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uzi ambao nilisoma kila comment ilioandikwa

    https://www.jamiiforums.com/threads/tukutane-hapa-tuliowahi-kuvamiwa-na-majambazi-tupeane-uzoefu-ushuhuda.1680289/ Ni wa Stori za kusisimua juu ya kuvamiwa na majambazi. Vp upande wako?
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  8. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Aisee kuna member anakuwaga makini sana kufuatilia thread,haruki thread wala comment

    Member mwenyewe ndio huyu hapa sijui ni nani huyu
  9. ward41

    JamiiForums Tanzania Sema neno kwa miamba hii iliyowahi kutingisha dunia

    1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
  10. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  12. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wana tabia ya kukomenti kwa maneno ya ovyo kwenye mitandao ya kijamii?

    Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii. Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

    kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe 👎 Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndani😅😅😅 Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi😍
  16. Slowly

    JamiiForums Tanzania Comment ziwe fupi fupi

    Na mimi pia nasisitiza comment ziwe fupi fupi
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

    Mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Blue Marlin mwenye uzito wa 87 kgs na kumchinja kisha kugawana nyama na wanakijiji wenzie. Baadae kampuni ya Pacific seafood ya nchini Marekani iliposikia habari za kuvuliwa kwa samaki huyo adimu...
  18. yousaw

    JamiiForums Tanzania Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Habari wakuu? Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenye nyumba na wapangaji wenzangu, By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach hapa ni ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia, ama siziwezi zote? Thanks 🙏
  19. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ni comment, no caption

  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kipi kipewe kipaumbele kati ya Elimu-Taaluma na Elimu- Ufundi hapa Tanzania?

    UTANGULIZI Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu) Hapa Tanzania, elimu...
Back
Top Bottom