Huu ndio uzi ambao nilisoma kila comment ilioandikwa

Huu ndio uzi ambao nilisoma kila comment ilioandikwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,090
Reaction score
35,362

Ni wa Stori za kusisimua juu ya kuvamiwa na majambazi.

Vp upande wako?
 
Yeah kuna stori nyingi sana hapa

Hata kama nyinginze ni za uongo ila atleast ni watunzi wazuri 🤣🤣🤣🤣 sio kama wale nina 30 natafuta bwana wa miaka 45 kuendelea
Jf hata kama bado maisha yanachangamoto zake ila vilaza ni wachache mno na kuna wengine ni vipanga wa mada za hovyo ,hapo bado ni akili mingi bwashee
 
Huu wako pia nimesoma komenti zote.... Sema asante bwana mdogo!
 
Mimi pia nna tabia hiyo, comment zinabeba mambo yote ndani yake, zinafundisha, zinapotosha, zinamizaha, zinachekesha, zinakera n.k
Hii ni nzuri mno na huwa najivunia niki like comment ya kila mtu ,ambae hataki sijamnyima kuni block mazima, kwa sababu hata mimi kuna viazi wa ccm nimewablock milele daima ,bwana yesu asifiwe.
 
Back
Top Bottom