club

A club is an association of people united by a common interest or goal. A service club, for example, exists for voluntary or charitable activities. There are clubs devoted to hobbies and sports, social activities clubs, political and religious clubs, and so forth.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForum Okwi Boban Sunzu ni Shujaa na klabu yetu ya Simba

    Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake...
  2. JamiiForums Tanzania Request For Proposals To Provide Consultancy Services at Young Africans Sports Club (“Yanga”) May, 2024

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services BACKGROUND Young Africans Sports Club (“Yanga”) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. Renowned fort its historical success, the club has secured a...
  3. JamiiForums Tanzania Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005. Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko Kama unapenda sana night outs, tafuta...
  4. JamiiForums Tanzania Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦 Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa maarufu sana

    habari zenu. Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga wanyimwe goli la wazi?? Kumekuwa na mjadala mkubwa kwa wachambuzi duniani kuhusu goli la azizi ki...
  6. JamiiForums Tanzania Juma kuu gumu sana la majonzi na vicheko kwa Klabu za soka za Tanzania

    moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C. hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
  7. JamiiForums Tanzania Napendekeza tuanzishe JF Jogging Club ya mtandaoni

    Wakuu sio siri kuwa ukivuka miaka 30 kuna mabadiliko ya kimwili lazima uyaone yakikujia kwa kasi ikiwemo kitambi. Kwa wale waliojaliwa riziki kidogo hali huwa mbaya zaidi ndo maana Mzee Janabi anazidi kutoa matamko. Wengi wetu tumekulia kwenye familia duni hivyo huku ukubwani baada ya mambo kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Club ya vijana wenye tabia njema

    Kama wewe 1. Unamuamini Mungu 2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki 3. Huna imani za kichawi na kishirikina 4. Sio mlevi wa pombe au sigara 5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako 6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako 7. Huna husda wala majungu 8. Unajitahidi...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Habari wakuu, Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa. Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  11. JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi. Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo: 1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote. 2. Ndio timu inayoongoza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
  13. JamiiForums Tanzania Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

    Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la michezo, kwanza kabisa niseme tu mimi nimekua nikafatilia Kwa club michuano hii mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa. Nikitazama kwa jicho la kiufundi kabisa naiona timu ambalo yupo Yanga, litatoa timu zitazokutana fainal au timu mojawapo katika...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

    Mchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata. Nini maoni yako?
  15. JamiiForums Tanzania Ma-bodyguard wa club muwe mnapiga kwa ustaarabu au kumtoa mtu tu nje

    Wakuu habari za uzima? Ndugu zangu wana JF kwa wale watu ambao wanaendaga club kupooza stress za wiki nzima nadhani watakuwa wameshakutana na hizi vurugu za watu wakibondwa na walinzi wa club kwa kusababisha vurugu. Ndugu zangu mimi si mtu wa viwanja ila nina mashine zangu za kutengeneza...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi, Walimu na Wanafunzi kuanzisha club za kupambana na uhalifu shuleni

    Mkaguzi wa kata ya Mkundi Mkoani Morogoro Mkaguzi msaidizi wa Polisi A/INSP Anna Manumbu amebainisha kuwa Jeshi hilo kwa kushirikiana walimu na wanafunzi wanaunda club za kupambana na uhalifu mashuleni ambazo zitaongeza kasi ya kupambana na uhalifu na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

    Hapo vip!! Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia. Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika. Yanga inacheza na timu kubwa na bora...
  18. JamiiForums Tanzania Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu. Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

    Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli Ligi yetu ni dhaifu, Club zetu zinatamba nyumbani ila nje ni aibu

    Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu , hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…