Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,910
- 28,658
Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi mbeya).
By that time nilikuwa nilisha break up na demu wangu, i just numbed the pain by parting and hitting on chicks. Nikifanya kujiburudisha. It was fun, ujana maji ya moto. So that day si kutaka kuifanya iwe soo demonic, ni Kaplan nitaenda kula msosi kuna jamaa anajua kupika kuku yuko mitaa ya kwa mtawa pale. Nikala kuku wangu mzima na smoothie muruwaa si kutaka kushiba saana maana baadae kulikuwa kina Waka.
So baadae tukazama club, am such a vibe Nikilewa huwa nageuka kuwa mzungu... Huwa na shuka ngeli mpaka walio table moja wanaona haya. Ila that day, ilikua tofauti kidogo.
Kwanza before... Everything mimi ni mtu ambitious sana, huwa na malengo makubwa sana, ila huwa nakuwa normal maisha halisi ili kufit in. Ndo maana Nikilewa huwa nakuwa kituko tuu.. Madini yangu yote yalivyo kwenye subconscious mind huropokwa tuu..
OK tuendelee that day, kama kawaida pisi zilikuwepo tu, zinasema rada aliye tayari.. Mimi nikajikuta siku hiyo sina time nazo kabisa. I wanted to drink only. Na lile vibe la mle sikuwa concerned nalo kabisa, siku nyingine mimi huenda mpaka kwa Mc na kumnyanganya maiki then nianze kuimba lip sync za ngoma husika Daah...
Ila that day, niliona sijui niko dunia gani mpk washakaji wakawa wanashangaa jamaa vipi huyu? Sasa katika kunywa nikaanza kufeel kama vile stimu haiji kabisa, kawaida yangu huwa nikinywa kidogo tu stimu inapanda ila kulewa mazima kabisa ndo kasheshe..
Ila ile siku stimu haikuja na sikuwa normal kabisa niliona kama vile nipo mazingira yasiyo nifaa kabisa, nilijiona mdogo kama sina thamani yoyote. Nilikuwa naangalia watu wanavyo party na ku vibe nawashangaa hivi hawa wanajielewa kweli? Yaani all you long for in life is this shit? Kunywa kulewa, na kufanya ngono na makahaba ndo kunampa mtu furaha? Nilikaa katika hii tafakuri kwa muda kidogo nikaendelea kunywa mpka nilipoanza kujihisi kama sina amani kabisa then nikamwambia washakaji Oya nina dharura kidogo narudi.
Sikutaja kuwaambia nini kilicho nisibu siku ile ila, Nilijua fika kabisa I was wasting my life away... Na ndipo nilipo jua kuwa addiction na distraction ndo kitu pekee kinacho uwa potential za watu wengi. Mimi nilianza ulevi nilipo kuwa chuo, na mara nyingi nilifanya vile out of peer pressure ila baadae nikaona ni sifa na lifestyle. Ila baada ya tukio la siku ile nilianza kuona kabisa that wasn't my thing nilifanya kwa ajili ya ku numb malengo yangu makubwa na haikuwa haiba yangu kabisa. Niliacha ghafla kujumiika na washkaji wengine wakaanza kuniita majina sijui nimekuwa mlokole, sijui najiona, sijui nimerogwa ila. It was a new begging for me.
Kuna wakati, Mungu hujaribu kukuokoa kutoka dhambini usipo ifwata sauti ya ndani utaendelea kupoteza nguvu na uwezo alio kupatia ndani yako.
Nahisi hii stori itamsaidia mmoja wenu.