Mangungu ni Mwenyekiti halali kabisa wa Simba Sports Club. Na Magori ni Rais halaii kabisa wa Simba Sports Club Company Limited.Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..