A club is an association of people united by a common interest or goal. A service club, for example, exists for voluntary or charitable activities. There are clubs devoted to hobbies and sports, social activities clubs, political and religious clubs, and so forth.
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa taji hilo la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Manchester City.
Ushindi huu...
Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania.
🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation Cup 2024/2025
Simba SC imefuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili katika...
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao .
Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako.
Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha maskini na malofa wanaomba omba pale kariakoo, yatima wanateseka, vijana wenye kiu ya elimu wanakosa ada...
Tarehe 15, Juni 2025 inatarajiwa kuanza michuano hii itakayo fanyika nchini Marekani.
Awamu hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa michuano hii kutumia mfumo wa mpya wa klabu 32 kama lilivyo kombe la Dunia kwa upande wa timu za taifa.
TIMU ZILIZOFUZU...
Wanaowiwa na kuamka alfajiri! Hii ni club ya wanaotoka asubuhi kwenda kuchakarika na pia wanaoamka mapema kama sehemu ya kuweka mwili fiti (mazoezi) au kufanya siku iwe bora.
Kama we ni mpenzi wa harakati za asubuhi Usisahau kucomment muda unaoamka.
Winners: Wanaoamka kuanzia saa11 had 12...
Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu.
Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
Kutakuwa na mkutano WA injili wakiongozwa na apostle.
Bendera
Gamanywa
Fernandes
Maboya
Na wengi watakuwepo kufanya maombi juu yetyuu...... Saa nane mpaka saa Moja
Mungu akubariki sana wewe utakaekuwepoo
NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025
Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.
Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA
KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa nitakupa Tathmini yao ya MISIMU SITA kuanzia alama zao kisha idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa pamoja...
Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .
Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
Habari wadau nauliza tu droo nilini mbona kimya.
==
Kwa sasa, Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) bado halijatangaza rasmi tarehe za droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2024–25.
Hata hivyo, kulingana na ratiba ya mashindano, mechi za robo fainali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.