Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,431
- 46,167
Nimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
Yamekuwa hayo tena
Ni slim fit au new fashooon in town!?🤔🤔
Mangungu ni mfa maji haachi kutapatapa anataka amrudishe tena Salim Abdallah 'Try again ' ili amsaidie kushinda uchaguzi wa mwakaniNimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
View attachment 3641956
Mangungu ameshafafanua waliokutana ni viongozi wa wanachama ambao Magori hausiki maana yeye ni upande wa Bodi ya mo.Nimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
View attachment 3641956
Nafikiri kuna shida kwa Mangungu.Mangungu ameshafafanua waliokutana ni viongozi wa wanachama ambao Magori hausiki maana yeye ni upande wa Bodi ya mo.
Kwa kifupi Magori anatapatapa.
Ana kashuzi kamtindo
Unazungumzia katiba gani?Nafikiri kuna shida kwa Mangungu.
Kwa Katiba ya Simba, viongozi wa wanachama hawawezi kuidhinisha majina ya wajumbe wa bodi ya wadhamini.
Inawezekana yeye ndio asiopenda utulivu ndani ya Simba. Huyo Try Again kila mwaka yeye, kabakisha nini Simba?! Bila shaka kuna zengwe wanalisuka.
Wadhamini wanatakiwa wapitishwe na mkutano mkuu, huo mkutano mkuu umefanyika lini?Unazungumzia katiba gani?
Swala la wadhamini ni swala la wanachama na wale ni viongozi waliochaguliwa na wanachama labda kama wadhamini wanatakiwa kupitishwa na mkutano mkuu wa wanachama
Watatambulika rasmi baada ya kupitishwa na mkutano mkuu.Wadhamini wanatakiwa wapitishwe na mkutano mkuu, huo mkutano mkuu umefanyika lini?
Ila Shasha ana umbo zuri, trakoo, hips, kiuno.
Ukiamua kutoka wewe hilo litakuwa tatizo lako. Kwa sie wengine, tuna cater in all issues at the same time.Tusipokua makin simba na yanga zinaweza kua kete za kututoa mchezon kwenye mambo muhimu ya taifa