Simba Sports Club maskini timu yangu😭

Simba Sports Club maskini timu yangu😭

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,066
Reaction score
166,573
Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮

Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
 
Acha kulia lia mwanasimba kuwa chawa wa simba kama wale chawa wa ccm mafanikio yatakuja tuuu?3
 
Back
Top Bottom