chuo

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Chuo cha UDOM uboreshe usafi hasa vyoo vya mabweni, hali si nzuri huko

    Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  4. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

    Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda Depression
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kufanya udahili Chuo cha DIT - Dar es Salaam, Index Number Kidato cha 6 haikubali

    Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage. Kiufupi kuna changamoto na mbaya...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mwezi wa kuripoti chuo

    Kwani tulio maliza form iv mwaka huu tukapangiwa chuo tunaweza kuanz kuripoti lini
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Graduate akimaliza chuo ndo anagundua amezaliwa upya

    Kumaliza chuo ni kuzaliwa upya, labda kama uliandaliwa mazingira na wazazi wako. Mwanachuo ukifanikiwa kumaliza chuo usirudi nyumbani
  10. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

    Naona nguo zimeanza kupauka Sina mishe Sina harakati Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
  11. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wahitimu wa chuo 2025

    Huu uzi unakutanisha wahitimu wa vyuo mbalimballi kujadili masuala tofauti kuhusu taaluma, ajira na kujiajiri. Njooni tupeane michongo, mawazo na ushauri kuhusu maisha baada ya kumaliza chuo Toa experience Toa maoni Toa mawazo yoyote kuhusu maisha baada ya kuhitimu chuo . Majobless...
  12. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo, nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ila uwe halali tu

    Habari zenu wanajamii forum, wakubwa shikamoni Kwa jina naitwa michael, ninamiaka 24 nimkazi wa Dodoma mjini mtaa wa area c. Nimemaliza chuo kikuu mzumbe mwaka huu 2025, ujuzi nilionao ni: kutumia pc vizuri kuanzia Microsoft office na vingine, Najua kufanya graphics design vizuri, najua video...
  13. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

    Wakuu ipo hivi Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti) KAZI ya vishoka Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu. Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi. Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE (Dar) hakijibu emails na simu hazipokeleki ukiwa nje ya nchi

    Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY. Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti...
  15. O

    JamiiForums Tanzania itle Replies Views Date TUNAFANYA APPLICATION YA AVN NUMBER ,HELSB NA VYUO. THE ONLINE STATIONARY nitext kupitia 0622569980

    Habari, tunafanya huduma zifuatazo
  16. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Kijue zaidi Chuo cha Mafunzo ya Magereza

    CHUO CHA SIKU:Chuo cha Mafunzo ya Magereza M By monahyohana June 27, 2025 Chuo cha Mafunzo ya Magereza nchini Tanzania, kinachoitwa rasmi Tanzania Correctional Training Academy (TCTA): Taarifa ya Jumla Kuanzishwa...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wadau wajadili uhuishaji mitaala ya chuo cha Ardhi Tabora

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla. Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
  18. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Majengo yanauzwa,yalikuwa yanatumika au kukodishwa kwa matumizi ya chuo

    #forsale ENEO LENYE MAJENGO MAZURI YA HUDUMA ZA KIJAMII LINAUZWA ENEO LIPO TABATA CHANG'OMBE MWANZO LIMETUMIKA NA CHUO (x) BEI=BILLION 1,MAONGEZI YAPO KIDOGO KUNA 🔹Madarasa 9 makubwa 🔹Ofisi 🔹Na Mambo mengine mengi KWA SASA ENEO LINAWEZA KUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI KUTOKANA NA MNUNUZI...
  19. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Kijue chuo cha polisi Moshi

    chuo cha siku: Chuo cha Polisi Moshi M By monahyohana June 25, 2025 Chuo cha Polisi Moshi ni taasisi rasmi ya mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kimeanzishwa rasmi mwaka 1954 na kinaandaa maafisa na askari kwa ngazi mbalimbali kupitia taaluma za kijeshi...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza form 4 mwaka jana ,nina division 2.20

    Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
Back
Top Bottom