|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa.
Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka kwa watu wa nactevet nje kuonjesha juhudi za Hali na mali...
Wadau wa elimu habari.
Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili.
Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata kupelekea wanafunzi kulipia gharama zakurudia mitihani baada ya mitihani hio kupotea, mbali na hapo...
Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine.
Mafunzo hayo...
Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika.
Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10
Physics D
Chemistry C
Mathematics C
Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni...
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
Political science
Theology
Bachelor
Degree in
International
Relations and
Diplomacy
Tourism
Laws
Bachelor of Science
in Aquaculture and
Aquatic Sciences
Logistics and
Transport
Shipping and
Logistics
Management
Shipping Economics
and Logistics
Bachelor of
Accounting
with
Information...
KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh.
Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine.
Una lipi la kuwashauri wahitimu wa design hii?
Courtesy: MwananchiNews
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na...
Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi.
Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi.
Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
Habari wadau
Wazazi wengi tunaosomesha watoto tutambue zama zimebadilika.
Kuepuka hasara na gharama bora kwenda direct kama wahindi.
Ukienda kampuni kubwa za ukaguzi wa hesabu hapa Tanzania kama PWC, KPMG , Delloite etc. Kuna wahindi wengi sana wahasibu na wakaguzi. Ambao hawajasoma chuo...
Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !.
Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa .
Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion.
Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole.
Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.