Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage.
Kiufupi kuna changamoto na mbaya...
Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26
Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
Huu uzi unakutanisha wahitimu wa vyuo mbalimballi kujadili masuala tofauti kuhusu taaluma, ajira na kujiajiri.
Njooni tupeane michongo, mawazo na ushauri kuhusu maisha baada ya kumaliza chuo
Toa experience
Toa maoni
Toa mawazo yoyote kuhusu maisha baada ya kuhitimu chuo
.
Majobless...
Habari zenu wanajamii forum, wakubwa shikamoni
Kwa jina naitwa michael, ninamiaka 24 nimkazi wa Dodoma mjini mtaa wa area c. Nimemaliza chuo kikuu mzumbe mwaka huu 2025, ujuzi nilionao ni: kutumia pc vizuri kuanzia Microsoft office na vingine,
Najua kufanya graphics design vizuri, najua video...
Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.
Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.
Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata...
Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY.
Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti...
Anonymous
Thread
cbe
chuochuo cha cbe
namba
nchi
nje
nje ya nchi
simu
zao
CHUO CHA SIKU:Chuo cha Mafunzo ya Magereza
M By monahyohana
June 27, 2025
Chuo cha Mafunzo ya Magereza nchini Tanzania, kinachoitwa rasmi Tanzania Correctional Training Academy (TCTA):
Taarifa ya Jumla
Kuanzishwa...
Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla.
Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
#forsale
ENEO LENYE MAJENGO MAZURI YA HUDUMA ZA KIJAMII LINAUZWA
ENEO LIPO TABATA CHANG'OMBE
MWANZO LIMETUMIKA NA CHUO (x)
BEI=BILLION 1,MAONGEZI YAPO KIDOGO
KUNA
🔹Madarasa 9 makubwa
🔹Ofisi
🔹Na Mambo mengine mengi
KWA SASA ENEO LINAWEZA KUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI KUTOKANA NA MNUNUZI...
chuo cha siku: Chuo cha Polisi Moshi
M By monahyohana
June 25, 2025
Chuo cha Polisi Moshi ni taasisi rasmi ya mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kimeanzishwa rasmi mwaka 1954 na kinaandaa maafisa na askari kwa ngazi mbalimbali kupitia taaluma za kijeshi...
Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
Habarini za wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Chuo cha SAUT ya Mwaka 2010, amemteua Padri Prof. Juvenalis Asantemungu kuwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Habari zenu humu,
Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS.
Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi.
ASANTENI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.