Kuwe na somo la katiba na sheria za nchi kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,907
4,771
Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo.
(A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa:

1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo JMT.
2. wakati gani wa kunyamaza na kukaa kimya.
3. wakati gani wa kuongea hadharani.
4. wakati gani wa kuongea ndani(indoors).

(B) Wakiwa viongozi wataelewa:
1.
nini cha kuongea na wananchi.
2. nini cha kuongea na wasaidizi
3. nini na wakati wa kuongea wenye mamlaka.
4. mipaka yake kama kiongozi.
 
Back
Top Bottom