chuo

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Selection ya Form 5 na chuo huwa ni mwezi gani?

    Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo: Civ - B Kiswa - B Hist - C Geo - C Engl - B Engl in Literature - C Phy - C Chem - B Bios - A Math - B Dogo hataki kwenda Form V, anataka kwenda chuo moja kwa moja kwa kozi za afya. Je yupo sahihi wadau au...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua Chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma

    Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi. Shukrani!!
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Tutor or Instructor Chuo cha NIT

    Post: Tutor/ Instructor II in Welding Technology 1 post Post Category (s) Engineering and Construction EMPLOYER: National Institute of Transport (NIT) Duties and Responsibilities i. Teaches up to NTA level 6 (Ordinary Diploma) and may assist teaching in higher NTA Levels; ii. Conduct...
  4. JamiiForums Tanzania Chuo cha Masister cha Kiluvya Makurunge

    Hivi hiki chuo kinatoa fursa zipi za ajira kwa wananchi wenye taaluma? Maana naona kwenye magari yao rangi nyeupe tu!!
  5. JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu anayejikimu kimaisha kwa kusafisha viatu Ethiopia

    Chekole Menberu, mwenye umri wa miaka 27,alikuwa na matumaini makubwa ya kupata ajira mara baada ya kumaliza shahada yake ya uhandisi wa kemikali(chemical engineering) miaka miwili iliyopita nchini Ethiopia. Ulikuwa ni wakati wa ukombozi, akiangalia miaka aliyoteseka kufikia kiwango hicho cha...
  6. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu India kufundisha madaktari masuala ya uchawi

    Chuo maarufu nchini India kimeanza kutoa kozi ya ngazi ya cheti kwa madaktari jinsi ya kutibu wagonjwa wanaopatwa mapepo au huyaona. kozi hiyo ya miezi sita katika chuo kikuu cha Banaras Hindu (BHU) kwa mji wa kaskazini wa Varasanasi, kozi hiyo itaanza mwezi Januari. Na pia kozi hiyo itakua...
  7. JamiiForums Tanzania Chuo cha NIT kuanza kutoa mafunzo ya urubani

    Chuo cha Usafirishaji (NIT) kitaanza kutoa mafunzo ya urubani ambapo tayari kimepokea Tsh. 48.9 bilioni kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya ununuzi wa ndege 3 za mafunzo, kujenga karakana, na hosteli. Inaelezwa kuwa Jumla ya wanafunzi 10 wanatarajiwa kuanza mafunzo hayo kwa mwaka 2020/21...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

    Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Shule au chuo kipi ni sahihi kwa matokeo haya

    Habar zenu ndugu zangu. Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala auawa kwa kupigwa risasi na mlinzi

    Polisi wa huko Jinja wanachunguza tukio la walinzi wa usalama kumpiga risasi mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Kampala, tawi la Jinja. Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Isaac Katagwa aliyekuwa akisoma Shahada Usimamizi wa Hoteli, utalii na burudani alipigwa risasi ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Egerton chafungwa kutokana na mgomo wa wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Egerton kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na wanafunzi wa chuo hicho kufanya mgomo wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mitihani yao ya muhula pasipo kukamilisha ada. Sambamba na hilo, chuo hicho kimetishia kuwasimamisha wanafunzi kwa mwaka mmoja ikiwa hawatokamilisha ada...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chuo cha Maseno kimefungwa kufuatia mgomo wa wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Maseno kimefungwa kutokana na kutokea kwa mgomo wa wanafunzi ambao unadaiwa kusababishwa na kukithiri kwa matukio na kesi za ubakaji ndani na nje ya Chuo. Aidha, kutokana na tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Julias Nyabundi amesema kuwa "kutokana na kutokea kwa mgomo huo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni chuo gani kati ya hivi ni kizuri katika fani ya accounting na katika kuajirika?

    Kati ya: 1. ARU (Bachelor Science in Accounting and Finance) 2. UDOM (B. Com Accounting) 3. Mzumbe (BAF) 4. TIA (BAF in Public Sector) 5. UDSM (B. Com Accounting) 6. University of Iringa (BAF) In terms of ajira na kujiajiri, and how products are evaluated in labour market?
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kamaliza chuo kaja na mtoto si wangu

    Habari zenu wana MMU! Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna jamaa yangu hapa yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake yapata miaka 6 hivi. Sasa jamaa alipanga na mpenzi wake kwamba binti akimaliza chuo moja kwa moja afikie alipopanga msela asirudi kwao ili waendeleze mahusiano yao wakiwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wapi kwenye nafuu? Kusoma chuo kikuu ama vyuo vya ufundi?

    Salaam wakubwa.. Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha??? Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha? 1: chuo kikuu. (university) 2:Vyuo vya ufundi (technical).. Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa?? Pancho boy
  17. JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo aishitaki Equity Bank kwa ajili ya wimbo

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Eric Nyadida anayedaiwa kuwa mtunzi wa wimbo maarufu wa matangazo wa Equity Bank uliotumika katika mradi uitwayo Wings to Fly ameishitaki benki hiyo kwa kukiuka makubaliano na kuitaka benki hiyo imlipe kiasi cha Milioni kumi za Kenya. Pia, kijana huyo ameiomba Mahakama...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

    Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji. Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu...
  20. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Chuo cha Kumbukumbu ta Mwalimu Nyerere chapata Mkuu mpya. Wenyeviti wa Bodi nne waendelea na nyadhifa zao

    Mhandisi Emmanuel Korosso anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Pia, Dkt. Alexander Lugatona Kyaruzi ameteuliwa kuwndelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wakati huo huo, Joseph Odo Haule anaendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…