Tarehe 23, Desemba mwaka 2003, Katika kitongoji cha Sugar Land Texas, yalipo makazi ya watu wenye ukwasi kusini Mashariki mwa Houston, kulitokea tukio la mauaji ya kutisha. Familia ya watu watano ilichapwa risasi na kibaka aliyevamia nyumba yao.
Bart Withtaker na mdogo wake Kevin walikuwa ni...