Chuo gani ni kizuri katika kufundisha kozi ya Sheria?

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
440
500
Wadau inakuaje?

Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply.

Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama yake; kwhiyo inaniwia ngumu kutambua. Lakini wadau wa JF hamtashindwa kunisaidia naombeni vyuo vitano tu vinavyofanya fresh kwenye course ya LAW.
 

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
440
500
Nop sio mimi.. ngekua mm ngesema tu live coz hata ID za jF ziko privacy sana kwhy hamna cha kuogopa kaka
 

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
440
500
Kwel uandish wangu sio mzuri lakini kuna watu wanajua uandishi mzuri lakini ujumbe unakua haueleweki na kunawatu hatujui uandishi vizr bt ujumbe unaeleweka so kwenye matter ya kuelewana tu hakunaga sheria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom