Naomba kuelezwa namna ya kuomba chuo kingine

ngotho

Senior Member
Jun 18, 2021
142
110
Wakuu habarini za saizi

Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo.

Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu? Let say umeaply IFM, third round?

Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
 
Apply af uka unconfirm kule kwingine.pia ni vizuri ukawapigia chuo unachoenda ukawaeleza situation iliopo,watakusaidia.vyuo vinatafta watu kwa sasa
 
Yaani post yangu hii imesomwa na watu 12, mmoja ndo ametoa msaada, mnaamaanisha wakuuu???
 
Wakuu habarini za saiz..
Ningependa kujua kwamba, iv kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo. Je ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu?? Let say umeaply IFM, third round.???

Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
Sometimes watu tunashindwa kushauri maana unaeleza kitu juu juu. Ulitakiwa ueleze Must na Mzumbe umepangwa course gani second round na Ifm third round umepanga uombe course gani ndo ingekuwa rahisi kushaurika. Isije ikawa unaacha course nzr sababu ya ushawishi wa watu halafu ukaenda nyingine huko Ifm ambayo ni bora ungeenda Mzumbe au Must
 
Zingatia hayo maneno...!funguka usaidiwe haina tija ukiongea kwa mifano wakati upo uhalisia wake..!
 
Wakuu habarini za saizi

Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo.

Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu? Let say umeaply IFM, third round?

Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
Haitokaa itokee yan huchaguliwe kozi ambayo hukuichagua ,wew kubali uliichagua sema sio priority yako
 
Wakuu habarini za saizi

Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo.

Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu? Let say umeaply IFM, third round?

Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
Kozi hujazipenda ulizichagua ili iweje!?
 
Sometimes watu tunashindwa kushauri maana unaeleza kitu juu juu. Ulitakiwa ueleze Must na Mzumbe umepangwa course gani second round na Ifm third round umepanga uombe course gani ndo ingekuwa rahisi kushaurika. Isije ikawa unaacha course nzr sababu ya ushawishi wa watu halafu ukaenda nyingine huko Ifm ambayo ni bora ungeenda Mzumbe au Must
nankwel mana hiv vitoto vya sasa mtihan.mim mdg wang kakataa kusoma medical lab kaenda kusoma wildlife
 
Back
Top Bottom