Unajiunga na chuo cha afya? Fahamu mambo 5 ya kuzingatia wakati unanunua vifaa-tiba kwa ajili ya mafunzo yako!

Dr Adinan

Member
Jul 11, 2021
14
20
Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu zitakazo kuwezesha kununua vifaatiba bora kwa mafunzo yako. Ushuarui huu ni kutokana na uzoefu nilionao katika fani hii ya afya. Hapa nina nafasi mbili, ya kwanza, nami nilikuwa mwanafunzi kama wewe, na ya pili, nimekuwa mwalimu nikifundisha na kusimamia wanafunzi mitihani. Soma mpaka mwisho kufahamu mambo yote matano!

Nikiwa mwanafunzi nilitapeliwa! Niliuziwa vifaatiba ambavyo havikuwa na ubora! Hii inaweza kumtokea yeyote! Kwasababu kama ulivyo wewe leo, nilikuwa nafahamu tu list ya vifaa sikuwahi kuviona kwa macho hapo kabla. Pia, sikuwa nafahamu kuhusu ubora, kipi kifaa cha muhimu, na wapi nitavipata. Sehemu ya kuvipata ni jambo la muhimu sana. Nitakwambia kwanini. Soma mpaka mwisho.

Nikiwa kama mwalimu nilishuhudia wanafunzi wengi wakiwa na changamoto zifuatazo ukizungumzia suala la vifaatiba:

Vifaa vichache walivyouziwa kwa gharama ya juu
Kuwa na vifaa visivyokuwa muhimu
Kuwa na vifaa visivyo na ubora
Kilichonisikitisha kwa wanafunzi hawa, kama ilivyokuwa kwangu, sikuweza kumpata aliyeniuzia vifaa ili anibadilishie na pia familia haikuwa na uwezo wa kununua kifaa kila kinapoharibika. 2015 nikajadili na wanafunzi waliotaka niwe ninawatafutia vifaa. 2016 nikasajili kampuni iitwayo Health Equipment Solutions (HES). Tangu wakati huo nimekuwa nikiwasaidia wanafunzi katika fani za afya kupata vifaa tiba bora kwa bei nafuu.

HES inafanya nini cha tofauti? ni kukuhakikishia kwamba utakuwa na UHAKIKA wa vifaa vyako wakati unapopima mgonjwa haswa wakati mitihani, Ha! usiharibikiwe na kifaa wakati wa mtihani ndugu yangu, utatamani ardhi ipasuke. Tunakuondolea wasiwasi wa kupoteza pesa zako – kama uko mbali na ofisi zetu, utalipia baada ya kupokea bidhaa. Tunakuhakikishia ubora – HES inakubadilishia kifaa kwa haraka sana kama kina changamoto zozote! Lakini la mwisho muhimu sana ni USHAURI! Itoshe kusema tuu, kwa uzoefu wa miaka 10 ya kufundisha – sifanani na mfanyabiashara mwengine ambaye huuza tuu vifaa bila kuwa na uzoefu huu!

Mambo 5 ya Kuzingatia​

  1. Uzoefu wa wauzaji…Vifaa huitaji utaala, hasa vifaatiba. Muuzaji kama ana ujuzi na vifaa anavyouza mteja hufaidika kwa kupata ushauri wa kitaalamu. Kwa mfano, utaelekezwa namna ya kutumia na namna ya kurekebisha kikitokea dosari. Pia, kama una pesa kidogo unaweza kushauriwa vifaa gani ni muhimu zaidi ili uanze navyo. Wauzaji wana UZOEFU wa kutosha, Wanajua wanachokiuza namna kinavyotumika?
  2. Je, Wauzaji wanaaminika? Kama ni kampuni inaaminika? Kuaminika hapa kuna namna mbili 1-imani kwenye ubora wa bidhaa; 2-imani kwa mteja, je, kifaa kinabadilishwa pindi kikibainika kina hitilafu baada ya kununua?
  3. Namudu bei? Ikumbukwe pia, fani za Afya zinahitaji vifaa vingi (zaidi ya vitano) kwa wakati mmoja. Bila shaka vifaa hivi vitakuwa ghali. Lakini ukilinganisha wauzaji, bila kuathiri ubora, Je bei ipi unaimudu?
  4. Je, wanaweza kunisafirishia kifaa nikakipata nilipo? Kwa wanafunzi, kulinda muda ni muhimu sana. Ni muhimu kujiuliza kama unaponunua vifaa wana uwezo wa kukusafirishia mpaka ulipo? Kumbuka, kama kitaharibika ukiwa chuoni inabidi ufanyike mpango ili uletewe kifaa hapo.
 
UNAFUNDISHA CHUO GANI ILI NIJE KUSOMA NA KUNUNUA VIFAA KWAKO KABIS
 
Back
Top Bottom