Utaratibu wa kusajili chuo ngazi ya certificate

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote.

Shukran
 
Chuo cha afya cha veta cha ualimu uwe specific
 
Chuo cha ualimu hakichanganywi na fani nyingine hiyo ndo sera ya wizara
Ok sawa tuachane na masomo ya ualimu mfano taaluma nyingine kama business administration, marketing...msaada
 
Alooo mkuu naweka booking mapemaa, ukifungua kijana mchapakazi nipo hapa.

Lakini mkuu kwanini usiwasiliane na Nacte moja kwa moja? Sidhani kama utakosa pa kuanzia ukianzia hapo.
 
Chuo cha ualimu hakichanganywi na fani nyingine hiyo ndo sera ya wizara
Pia nikihitaji kuwa na aina 2 ya vyuo cha ualimu na chenye taaluma zingine onakuwaje na utaratibu ukoje
 
Alooo mkuu naweka booking mapemaa, ukifungua kijana mchapakazi nipo hapa.

Lakini mkuu kwanini usiwasiliane na Nacte moja kwa moja? Sidhani kama utakosa pa kuanzia ukianzia hapo.
Nacte ip dodoma au dar na dar ofisi inayo husika ikowap
 
Back
Top Bottom