chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dakika 40 chumba cha wanaozaliwa kabla ya wakati

    Novemba 17, 2023, Dunia iliadhimisha siku ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati, siku moja kabla, nilibahatika kufika katika Wodi maalumu kwenye mojawapo ya vyumba vya kutunza Watoto hao katika Hospitali ya Benjamin Mkapa na kujenga msingi wa simulizi hii. Ni kijichuchumba kidogo chenye nafasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda binti wa chumba cha jirani

    Wakuu nimwambie au nimyuti tu nisije nikalizua, kuna mtoto wa kike chumba Jirani na Mimi namzimikia kinoma naogopa kufikisha ujumbe kwakua ni nyumba moja na wife asije akajua ukawa ugomvi. Au mfano akinichomolea itakuaje naombeni ushauri nife na tai shingoni au nijilipue kiunaume tu.
  4. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani rahisi kupata Chumba cha Kupanga Dar

    Mwenye kujua njia rahisi anielekeze hapo. Je, madalali wa Dar wanasomeka? Maeneo ya Sinza, Mwenge karibu na Kanisa la RC au Magomeni karibu na Kanisa la RC
  5. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba, anahitaji chumba cha kupanga

    Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme. Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia. Kiwe single au chumba na sebule bado kinafaa njoo na offer yako hapa hapa madalali kaeni...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kupata chumba kwenye nyumba za NHC Dar

    Hi, Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali. Eneo langu la kazi ni Posta...
  7. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

    Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU. IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO. DALALI 0683011003
  8. jastertz

    JamiiForums Tanzania Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba cha kupanga mabibo kwa uharaka

    Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
  10. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

    Habari zenu ndugu zangu, naandika nikiwa na hasira kali sana juu ya baba yangu mzazi, mimi ni kijana wa umri wa miaka 48, sijaoa bado ila nina mtoto mmoja, ambaye yupo kwa bibi yake upande wa mama yake. Mwaka huu mwezi wa tano niliondoka nyumba rasmi baada ya kuona baba yangu ameanza manyanyaso...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
  12. urusername

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
  13. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kinahitajika Daresalam maeneo yawe Tandika

    Bei ya chumba isizidi elf 30 kwa mwez. Ambaye anamjua dalali anitafute kwa namba hii 0656376814 Pesa ipo mfuko wa shati
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Shemeji yenu anaficha pochi kwenye chumba cha mabinti wa kazi.

    Wakuu napitia kipindi kigumu sana. Baada ya mzazi kugeuka mtetezi wa wanangu. Shemeji yenu amekua akiweka hand bag yake kwenye chumba cha mabinti wa kazi. Nahisi mwanzo wa jambo la hatari. Kwanini afiche hand bag.??
  15. stan john

    JamiiForums Tanzania Rangi gani inafaa kupaka kwa ndani kwenye chumba anachoishi mwanaume?

    Habari, Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani? Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume? Asante
  16. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa njia bora ya kuondoa nyuki waliowekamakazi kwenye chumba changu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
  17. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Je kujenga chumba Kama hiki inagharimu kiasi gani(makadirio)

    Kichwa Cha habari kinajieleza ndugu zangu,hapo gharama inaweza kufika kiasi gani??
  18. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

    Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa na Master. Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja. Wapangaji wasiwe wengi (8+). Kuwe na uzio/fensi...
  19. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Chumba cha Kupanga External

    Kwa mtu yoyote anayeielewa mitaa ya makuburi na External aniambie mtaa mzuri ninaoweza kupata nyumba nzuri ya kupanga... average standard, sina familia. Mitaa ambayo nitapata usafiri kirahisi.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu chumba cha pili akiwa na mkewe wakinaniliu lazima aangue kilio

    Nakaa huku uswahlini chumba hakina siling bodi na ukuta unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe anamwambia...
Back
Top Bottom