chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba cha kupanga Morogoro Mjini

    Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje. Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata tabu sana ya kupumua, mara kadhaa hushindwa kuendelea na safari yangu ya floor ninayokwenda. Aidha...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule ni self catering dormitories mijini

    Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo. Kuongeza kipato zaidi ya pension kwakua sasa hivi ni mstaafu anaanuma kujenga vyumba nyuma na pembeni ya nyumba yake...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  5. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania Dada zetu acheni kugeuza chumba cha kulala kuwa choo

    Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa...
  6. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kupanga chumba kama hujauelewa unaweza dai pesa kuhama

    Wadau ukipanga nyumba ukipewa mkataba wake ukawa hujaelewa sheria zake unaweza kuda pesa yako kusepa ndio siku ya kwanza.
  7. Navegante

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta chumba kimoja chakupanga kiwe self contained Arusha-Njiro

    Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
  8. wa log

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga kahama

    Natafuta chumba cha kupanga kahama chenye umeme bei isizidi 30k Naombeni namba za madalali
  9. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: ramani ya chumba choo na jiko la kupikia...

    Habari ndg zangu naomba msaada wa kupata ramani ya chumba 1 choo na sehemu ya jikoni tafadhali
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

    Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

    Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja. Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda...
  12. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga tanga

    Habari, Tanga kunani palee Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo. Chumba kiwe na choo ndani Bajeti yangu 70k kushuka chini.
  13. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba Master na Sebule kinapangishwa Tabata Kimanga

    CHUMBA MASTER MPYAA 💥💥 PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE MPYA . LOCATION : TABATA KIMANGA. DSM (A) Chumba Master ya Kibachela Mpyaa -- Kodi 100,000 miezi 6 (B) Chumba Master na Sebule -- Kodi 150,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti Tabata Kimanga dakika 12 kutembea hadi stendi kuu...
  14. dalaliadam

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba zinapangishwa Dar

    INAPANGISHWA_MASTA SEBULE ENEO - MBEZIBEACH GOBA ROAD KODI - TSHS 150,000 NIONE - 0679268006
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Chumba sebule inahitajika maeneo ya Tabata

    Habarini wadau wa JF! Naomba ushirikiano wenu kwa mtu ambae atakuwa anajua sehemu yenye one bedroom apartment yaani chumba, sebure choo ndani na stoo pia kiwe ndani fensi, eneo liwe karibu na barabara kuu na pia liwe linaingilika ata wakati wa mvua kubwa. Itapendeza zaidi ikiwa maeneo ya...
  16. dalali wafaida

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba Master kinapangishwa Mbezi Beach

    Chumba Masta. Kodi Tsh 120,000 Eneo - Mbezi Beach, Makonde Ndani ya fensi, Maji ndani. Umbali wa kutembea. Umeme submita yake. Maelezo zaidi: 0679268006
  17. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba kinapangishwa Mbezi Beach

    FOR RENT - CHUMBA MASTA NA SEBULE - TSHS 150,000/= Mbezi Beach GOIGI. CALL 0679268006 ○ Tailizi, Gipsam. ○ Umbali kutembea ○ Ndani ya fensi, Maji ndani. ○ Umeme submita
  18. ahmedj

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba singo Kinapangishwa - Mbezi Beach

    KINAPANHISHWA CHUMBA SINGO LOCATION : MBEZIBEACH SHULE BEI : 60,000 SIMU : 0679268006 UMBALI WA KUTEMBEA, NDANI YA FENSI WAPANGAJI 3 TU.
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Jaribisha kuongeza hivi vitu vitatu (3), kubadirisha muonekano wa Sebule au Chumba chako!

    Wakuu, kwema? Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako. 1. Picha za Ukutani Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kuwaweka kuku wa 4 walioatamia sehemu mmoja?

    Wakubwa nisaidieni Je, unaweza kuwaweka kuku wa 4 wenye vifaranga kwenye chumba kimoja na watoto wao? Maana kuku wangu wameatamia wapo wa 4 so nataka kuwatenga na hawa wengine ambao bado hawajaanza kutaga so ni sahihi kuwaweka kwenye chumba kimoja maana chumba kipo?
Back
Top Bottom