china

  1. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania China inaonekana kuibuka na ushindi dhidi ya janga la Corona

    Wakati nchi nyingi zikiingiwa na taharuki kutokana na kuenea kwa virusi vya corona nchini China katika jimbo la Guizhou Kusini-Magharibi mwa nchi hiyo wanafunzi wameanza kurejea mashuleni kama kawaida pasi na vilinda pua na midomo (mask). Taarifa hii ni kwa Mujibu wa kituo cha habari cha Taifa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania New Drug cures 80 Coronavirus patients is now approved for mass production in China

    Experts in China have now narrowed down to favipiravir. Source/Xinhua News A pharmaceutical company in China has been been handed a go ahead by the National Medical Products Administration to kick-start the mass-production of a drug that has been clinically proven to cure coronavirus. The...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Us biological Warfare against China could lead into World war lll

    According to Kevin Barret A number of intersting developments here in United States and China suggested that there is something strange going on regarding the Coronavirus and US government. We are now hearing from the Chinese government itself, as well as Chinese social media, which is normally...
  4. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani. Source: Chinese News
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niliwashauri ATC wasiende China kupitia Bangkok, hawatapata faida njia ina ushindani sana, naona hawakusikia

    Naona ATCL wameamua kwamba wataenda China kupitia Bangkok, Thailand Bangkok. Njia hii ina ushindani sana, haitakuwa na faida kwao kupitia Bangkok na kushindana na mashirika makubwa ambayo yameweka mizizi sana kwenda au kupitia Bangkok pamoja na Ethiopian Airways and Kenya Airways. Ninawashauri...
  6. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy

    Kaka yangu amewekwa quarantine China akitokea Italy kwa kifupi yupo Corona positive. At the moment nahisi jambo pia tumekutana in two weeks, personally najiweka quarantine nione majibu. Huu ni ujumbe wake wa mwisho. "🇨🇳🙏🏽...it wasn’t easy leave my family in that way 🥺 I do miss them a lot and...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya kupambana na Corona ilivyokuwa huko China

    1. Mbinu za kijeshi za wakati wa vita zinatumika, kama vile kufungia ndani kwa kufuli maalum wasthirika wa corona wasitoke 2. Kupeleka waathirika kwenye makambi maalum yaliyotengenezwa 3. kubadiri viwanja vya michezo na mabweni ya shule kuwa vituo maalum vya karantini 4. Kukamata wasiovaa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje. Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani. Source Star tv!
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Corona: Tanzania yaingilia kati, madaktari wake wajitolea kwenda China kuidhibiti

    Rafiki wa kweli ni wakati wa shida . ===== SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19). Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
  10. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Taoism: Falsafa ya kale ya China inayokupa nguvu ya kufanya bila kutenda

    Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana. Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ethiopian Airlines lagoma kusitisha safari za China. Lasema kuitenga China sio suluhisho

    Kwa mara nyingine tena shirika la ndege la Ethiopia limekataa kusitisha safari zake za ndege kwenda nchini China, licha ya kuwepo kwa shinkizo la kulitaka kufanya hivyo kutokana na mlipuko wa virusi vya corona. Mkurugenzi wa shirika hilo Tewolde Gebremariam amesema kuwa, kusitisha safari za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  13. Gwangzu

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: tupia picha | tuone hali ilivyo huko china

    Tushare kwa picture hali ilivyo huko china; *soon nawaletea pictures*
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

    February 27, 2020 Nairobi, Kenya A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi, Kenya bringing with it a fresh concern about coronavirus. A whistleblower who took a video of this aeroplane from China said that there are no...
  15. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Shenzhen China: Ulaji wa Paka na Mbwa wapigwa marufuku katika jitihada ya kuzuia Corona

    Wanyama hawa ambao ni haramu hata kibibilia wamesadikiwa kuchochea janga hili. Pia wanamkakati wa kuongeza list zaidi ya wanyama mwitu,kufugwa na watambaao. Tabia ya kulakula nyama za mwitu akiwemo paka miaka 17 iliyopita ilipelekea vifo vya watu zaidi ya 8000 Source: South China Morning Post...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Misaada mingi ya China barani Afrika, Marekani yaitaka Afrika kuwa makini

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo hivi karibuni alimaliza ziara nchini Senegal, Angola na Ethiopia na katika Umoja wa Afrika. Hii ni mara yake ya kwanza kufanya ziara katika nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Sahara, katika karibu miaka miwili iliyopita, tangu ateuliwe kuwa Waziri...
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya nzige: China yaandaa jeshi la bata laki moja (100,000) kukabiliana na nzige Bilioni 4

    Wakati Kenya ikitumiia mabilioni ya shilingi kununua sumu ya kupulizia nzige na kukodi ndege kadhaa, wenzetu China wana wazo lingine kabisa, wao wameamua kuajiri bata laki moja na kuwapeleka eneo la tukio wapambane na nzige. Watu husema China haijawahi kuishiwa mawazo mapya, hii imedhihirisha...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CORONA VIRUS(COVID_19) Ni mbinu ya CHINA kuzima maandamano ya Hongkong na Alarm kwa Mabeberu juu ya biological warfare ya CHINA.

    Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000 China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa COVID-19

    Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa Nimonia unaosababishwa na virusi vya Corona COVID-19. Naibu Mkurugenzi wa Kituo cha Taifa cha Maendeleo ya Teknolojia ya Viumbe kilicho chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Nyaraka Zavuja: Namna China inavyowafunga Wauighur bila sababu za msingi

    Nyaraka mpya zilizovuja zinaonyesha namna mamlaka za China zinavyotumia teknolojia ya kiwango cha juu kuwafuatilia, kuwatambua na kisha kuwakamata Waislamu wa jamii ya Uighur. Nyaraka hizo zinatoa taarifa za kwanini watu wanakamatwa na orodha ya wale waliofungwa imeelezea hatma ya watu 311...
Back
Top Bottom