Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona
India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''Vina dosari''.
Mji wa Delhi pia umeondoa vifaa ambavyo tayari vilikuwa...
Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na...
Wana JF,
Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019!
Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19.
China imeshakiri kuwa kabla ya...
Hapo vip!!
Ni ukweli ulio wazi ya kwamba china na urusi ni marafiki tena wa kushibana wa muda mrefu sana...ila nina wasiwasi urafiki huu ukachafuliwa na dowa la CORONA-COV19.
Ishara hii imeanza kuonekana baada ya mwanasayansi mkubwa wa Urusi kuinyooshea china kidole yakwamba ndio anayehusika...
There is a sharp contrast between how African nations and the rest of the World utilized traditional medicine in the fight against COVID-19 pandemic outbreak. In Africa, the African traditional medicine was hardly given a chance to fight the epidemic. In Asia, traditional medicine was central to...
Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani?
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi...
On the 18th of April, Saturday evening, A lot happened on twitter between Chinese and south Africans after a screenshot emerged of a secret social media group of racist Chinese People. A screenshot from the group had leaked out. The screenshot was filled with hate messages from Chinese People...
Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita
Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...
Baada ya Marekani kuwa na Mashaka na china juu ya takwimu alizotoa na kusema atafanya uchunguzi mwenyewe ili kuthibitisha hiyo idadi, china imetoa ripoti mpya inayoonesha vifo 1,290 na kujitetea kwamba ilikuwa umesahaulika hivyo kufanya vifo kufikia 4,623 na wagonjwa 82,692 ikiwa ni ongezeko la...
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka hamsini, uchumi wa China umepungua kwa asilimia 6.8, ofisi ya takwimu ya nchi hiyo imebainisha
Wachambuzi wa kiuchumi wametahadharisha kuwa uchumi unaweza ukasinyaa zaidi kutokana na kushuka kwa uhitaji wa bidhaa za kutoka China kwa mataifa mengine
Pato la...
(Donald Trump President of the USA)
United State being a strong opponent and critic of China has finally succumbed to unforeseen COVID-19 crisis.
This comes despite the recent racist remarks from President Donald Trump against China terming COVID-19 a 'Chinese virus'.
The state of Illinois in...
China imeiomba Marekani hii leo kutimiza wajibu wake kwa shirika la afya ulimwenguni, WHO baada ya Rais Donald Trump kusimamisha ufadhili kwa shirika hilo akilituhumu kushindwa kulishughulikia ipasavyo janga la virusi vya corona.
Waziri wa mambo ya kigeni wa China Zhao Lijian amewaambia...
President Trump kaifutia WHO msaada wa fedha akidai WHO imekuwa upande wa China kwa kuipongeza kwenye kupambana na Coronavirus. Cha ajabu hata yeye aliisifia China January 24.
In the midst of rising Coronavirus cases in US, President Donald Trump in his press address hits out at a correspondent when approached about ramifications for China
Donald Trump
In the midst of rising Coronavirus cases in United States, President Donald Trump on Monday in his press address...
Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Afrika katika mji wa Guangzhou, Chen amewaeleaza Mabalozi kwamba Serikali ya China haiungi mkono vitendo vya ubaguzi dhidi ya yeyote.
Kuhusu...
Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
Baraza la Congress la Marekani limemwandikia barua Tedros Adhamon ambaye ni DG wa WHO likimtuhumu kuisaidia China kwenye mpango wake wa siri kueneza COVID19 duniani kwa Makusudi.
Jisomee mwenyewe hapa👇:
April 9, 2020
Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus
Director-General
World Health Organization
20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.