Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,904
Wakati Kenya ikitumiia mabilioni ya shilingi kununua sumu ya kupulizia nzige na kukodi ndege kadhaa, wenzetu China wana wazo lingine kabisa, wao wameamua kuajiri bata laki moja na kuwapeleka eneo la tukio wapambane na nzige.
Watu husema China haijawahi kuishiwa mawazo mapya, hii imedhihirisha wazi maana hakuna ambae angefikiri kitu kama hicho na cha gharama ndogo sana.
Nilisikia wizara ya hapa kwetu inasema wameandaa ndege 2 na madawa kadhaa kukabiliana na nzige iwapo wataingia Tanzania, wachukue wazo la China, kusanya kuku na bata laki 2 wapeleke huko kwenye nzige, siku 3 tu nzige wote wameisha.
Wataalamu wanasema hii njia ya China ni rahisi, rafiki kwa mazingira na hufanya kazi vizuri zaidi kuliko madawa ya kunyunyuzia. Mwaka 2018 China ilitumia mbinu hii hii kukabiliana na mabilioni ya nzige na matokeo yake yalikua mazuri sana.
[
Duck troops' gather at the border to face locust swarms
As 400 billion locusts approach China from the India-Pakistan border, 100,000 "duck troops" are gathering to prepare for the potential emergency.