A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,198
February 27, 2020
Nairobi, Kenya

A China Southern airlines with 239 passengers on board lands at the Jomo Kenyatta International airport in Nairobi, Kenya bringing with it a fresh concern about coronavirus. A whistleblower who took a video of this aeroplane from China said that there are no proper preparation to deal with the coronavirus if at all any of the passenger has it.

Source : NTV Kenya news
 
February 27, 2020
Nairobi, Kenya

Frontline staff at the Kenyatta International Airport in Nairobi Kenya are worried as there are no adequate preparation to shield them contracting coronavirus. Staff dont have proper proctective gears and they are made to wear masks for days without changing them

Source : NTV Kenya
 
Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.

Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
 
Dah! Najaribu ku-imagine, hivi corona ikilipuka Afrika Mashariki si tutakwisha kama kuku wenye sotoka!...
 
Sipendi huu unyonge wa serikali ya Jubilee
Boss, sio unyonge wa aina yeyote ile. Tutakufa sote kwasababu ya tamaa ya pesa. KQ walisitisha safari zote na connection kutoka China ila jirani zetu na shirika lao Ethiopian Airlines wamekataa. Niliona hadi rais Uhuru Kenyatta akiwasihi hivi majuzi wasitishe safari hizo. Pale Bole Int. Airport, Addis wanapokea abiria 4,000 kutoka China kila siku, 40% ya abiria wote bara hili kutoka China! Alafu hao hao abiria wanasafari hadi kwenye nchi zingine ukanda huu na Afrika kwa ujumla. Sijui kwanini waafrika tunadhani kwamba hatuwezi kufa kwasababu ya virusi vya COVID-19(Corona). Ila nimependa wakenya wanavoikashifu serikali yao, wahabeshi wamenyamazishwa kabisa. Itabidi tuanze kufunga na kuomba na tuache kununua nguo mpya, siku zetu zinawadia huku tukikenua kenua tu.
 
Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.

Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
mungu waepushe wa kenya na hili janga ili tusikose mira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungese wa hii serikali mpaka basi, nini kinawashinda kuzuga kwanza waone hiki kitu mwisho wake huko kwao, sasa hivi kirusi kinatesa mpaka super powers sembuse ukajamba wetu huku, vihela vya utalii vinawachanganya akili wakuu wa nchi, lindege lote hili full Wachina....Mungu atunusuru, hii imenitia hasira tu yaani.

Tutapoteana na kukimbiana huu mji kila mtu atakumbuka kwao kijijini...
Pesa mbele mauti nyuma..
 
Dah nikikumbuka Bill Gates alisema abot ten million people kuwa affected na ugonjwa huu endapo utafanikiwa kuingia africa basi mawazo ya ajabu ajabu yanapita kichwani kwangu mara naona machela nyingi zinabebwa huku na huko mara naona watu wanavaa vikingio ilimradi tu, naona makambi ya viwanja , nchi zinageuka taswira ya kijivu.....naona hofu baina ya watu kusogea hata sehem moja kwenda nyingine then janga la uchumi kubwaa sana la moja kwa moja......., Sema kwa kuwa Mungu si Athumani haya yatabaki kuwa mawazo tu na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom