china

  1. JamiiForums Tanzania China yaingia katika ushindani wa ‘navigation satellite system’ kwa kurusha satelaiti ya mwisho

    Leo Juni 23, China imezindua satelaiti yake ya mwisho kukamilisha mfumo wa ‘Geolocation’ unaoitwa BeiDou Navigation Satellite System (BDS) Satelaiti hiyo iliyopewa jina la BeiDou-3GEO3, itakamilisha mfumo wa mtandao katika soko lenye ushindani wa mitandao kama GPS wa Marekani, GLONASS wa Urusi...
  2. JamiiForums Tanzania China inavyopambana kumuweka mwanamke kwenye ngazi za juu za uongozi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu na uwezo wa kufanya chochote kile ambacho amedhamiria kufanya. Ndio maana wanasema ukimfundisha mwanamke mmoja ni sawa na kuifunza jamii nzima. Lakini ni wazi kwamba mwanamke yuko tofauti na mwanamme. Hata hivyo utofauti huu wa kimaumbile haufanyi iwe sababu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

    Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla Taarifa yaendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa China atoa salamu kwa mkutano wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”

    Mkutano wa ngazi ya juu wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika leo hapa Beijing. Katika salamu zake kwa mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amesema, China inapenda kushirikiana na nchi nyingine kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja. Amesema maambukizi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China cancels over 1000 flights, closes schools amid second wave of covid19

    China cancels over 1000 flights, closes schools to contain new wave of COVID-19 outbreak - China had reported at least 137 new cases of COVID-19 in the past six days and this has compelled the country to enforce new measures to prevent another full-blown crisis - Travell into and out of...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa China apinga kulifanya suala la COVID-19 kuwa la kisiasa na kibaguzi

    Rais Xi Jinping wa China leo amesema, ni lazima kudumisha nia ya kusimamia mfumo wa pande nyingi. Na katika janga hili la COVID-19, mshikamano na ushirikiano ni silaha yenye nguvu zaidi. Ameongeza kuwa China itashirikiana na Afrika kudumisha mfumo wa uongozi wa dunia ambao kiini chake ni Umoja...
  7. JamiiForums Tanzania China kuzifutia madeni nchi za Afrika zilizoathiriwa zaidi na COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020. Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa China aahidi kuzipatia nchi za Afrika chanjo ya COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi

    Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi tarehe 15. Hii ni mara ya kwanza kwa maonyesho haya kufanyika kwa njia ya mtandao Wafanyabiashara na wateja kutoka China na nchi za nje wanaweza kufanya biashara kutoka nyumbani Kauli...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

    Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
  11. JamiiForums Tanzania India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
  12. JamiiForums Tanzania Kupaka matope kwa makusudi mabaya hakuwezi kukwamisha urafiki kati ya China na Afrika

    Hivi sasa, janga la virusi vya Corona linaenea kwa kasi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, hadi kufikia tarehe 14 Juni, nchi 54 barani Afrika zimeripoti watu laki 2.3 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, na idadi ya vifo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping kuendesha mkutano wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Mkutano huo umefanyika chini ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina walilia serikali yao waondolewe Kenya

    Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus. Wachina bahada ya kugundua njama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania China WW3 Threat: Beijing military insider exposes how War could break with US.

    A CHINESE insider has exposed the growing threat of a "direct military confrontation" breaking out between the US and China as Beijing continues to expand its war readiness. China and the US could break out into a military war at any moment, according to a leading Chinese military analyst...
  16. JamiiForums Tanzania China reports 11 new confirmed, 7 asymptomatic COVID-19 cases for June 12

    Niliwahi Kumsikia mahala Mtaalam Mmoja akisema kuwa kama pakiwa pametokea tatizo / janga fulani ndani ya nchi husika hata kama juhudi zinafanyika za kukabiliana nalo na zimeanza kuzaa Matunda ila bado haipaswi kwa Kiongozi husika wa nchi Kusifiwa, Kupongezwa na Kupambwa kila Kona kwani Kupunguza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania China thretens to wipe €20bn off Australia Economy for daring to question the Origin of COVID-19

    AUSTRALIA has hit back at threats from China to punish Australia for daring to question the origin of the coronavirus, after Beijing vowed to wipe £20billion off the Australian economy. Australian Prime Minister Scott Morrison has hit back at China for threatening to punish Australia...
  18. JamiiForums Tanzania Twitter yafuta akaunti 170,000 zilizokuwa zikihamasisha maandamano Hong Kong na kueneza uongo kuhusu usambaaji wa COVId-19 China

    Mtandao wa Twitter umesema umezifuta akaunti 170,000 zilizokuwa zinahamasisha maandamano Hong Kong, kutoa mtazamo wa uongo kuhusu COVID19 na kuhusu maandamano ya Marekani ya George Floyd Twitter imesema akaunti 23,750 zilizoandika jumbe hizo na 150,000 zilizosaidia kusambaa zaidi jumbe hizo...
  19. JamiiForums Tanzania China: Dawa ya COVID19 kujaribiwa kwa mwanadamu

    Madaktari nchini China wamaenza kuijaribu dawa ya #COVID19 iliyogunduliwa na Eli Lilly na kampuni ya kichina ya ‘Bioscience’ Dawa hiyo iliyopewa jina la JS016,, itaanza kujaribiwa kama haina madhara kwa mwanadamu katika awamu ya kwanza ya majaribio Jaribia la kwanza likifanikiwa itajaribiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania AU Comission: South Africa Urged to stop China from building Africa Desease Control Center HQ in Addis Ababa

    The African Union Commission headquarters building in Addis Ababa, Ethiopia. (Photo: Ecdpm) The Africa CDC headquarters row has also pulled in the US and has become a regional sideshow to the larger and more public spat between Washington and Beijing over the WHO. South Africa has been urged...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…