china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  2. JamiiForums Tanzania China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

    Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili. Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

    Mabaki ya roketi ya China yametua kwenye bahari ya hindi magharibi mwa nchi ya Maldivies pasipo madhara yoyote kwa binadamu kama China yenyewe ilivyosema.Naona USA kabaki hoi.Chanzo cha habari kwa mashirika yote ya habari ni kutoka China kwenyewe. ===== Mabaki ya roketi ya China yalipuka na...
  4. JamiiForums Tanzania Utalii-Ukuta Mkuu wa China

    UKUTA MKUU WA CHINA 中国的万里长城 THE GREAT WALL OF CHINA Kimetungwa na Luo Zhewen (罗哲文)na Zhao Luo (赵洛) Kimetafsiriwa na Tumaini UTANGULIZI Kwa wageni, “Ukuta Mkuu” hutajwa pamoja na China. Katika kitabu cha jiografia cha shule za msingi, wanafunzi walisoma habari kuhusu Ukuta Mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Chanjo ya China ya Sinopharm yapata idhini ya WHO

    WHO imetoa idhini ya dharura kwa Chanjo dhidi ya COVID19 iliyotengenezwa na Kampuni ya China ya Sinopharm. Imeshauri itolewe kwa dozi mbili kwa walio na miaka 18 na kuendelea. Japokuwa Chanjo hiyo tayari imetolewa kwa Mamilioni ya watu China na sehemu nyingine, idhini ya WHO ni mwongozo kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

    Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi? Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16. Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Language - Swahili in China

    SWAHILI IN CHINA Writer: Tumaini First, I would like to explain how I came to learn Swahili. Actually it was more or less an accident. When I was a high school student...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa. Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii. katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya teaches China a lesson

  10. JamiiForums Tanzania China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua. Pia tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G. Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele duniani kuboresha kasi ya upatikanaji wa mtandao wa intanet, hii ikiwa ni mara ya pili kurusha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

    Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaki zogo na China wala Urusi

    Biden ameyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge la Marekani, baada ya kutimiza siku 100 tangu aingie madarakani. "Marekani ipo katika hatua ya kusonga mbele tena." Ni sehemu ya maneno ya kutia moyo ambayo ameyasema katika hotuba iliyopindukia takribani saa nzima yenye kugusia masuala...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika wa “Ukanda Mmoja Njia Moja” wapaswa kulindwa sio kudhalilishwa

    Gazeti la Financial Times la Uingereza limetoa makala likilitilia mashaka Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” BRI na kusema uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani Afrika “unakaribia kukauka”. Makala hiyo pia imemnukuu afisa mmoja wa Afrika Kusini akisema nchi za Afrika...
  15. JamiiForums Tanzania Economic diplomacy: Hivi Tanzania tunataka nini toka China?

    Mwaka jana, kuna mtafiti mmoja kutoka kitengo cha utafiti wa utekelezaji wa sera za nje za China alituuliza ' hivi Africa inataka nini China?' Akiwa na maana waafrica tungetamani kunufaikaje na diplomasia ya kiuchumi kati ya nchi zetu na China ambayo kwa sasa Inaongoza kwa uchumi,teknolojia na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia S. Hassan akutana na Chama cha Wafanyabiashara wa China

    21 April 2021 RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara zao Tanzania. Mwakilishi huyo wa chamber hiyo ya wafanyabiashara amebainisha kwa sasa kuna zaidi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China kupunguza mkopo kwa Afrika si picha kamili ya ushirikiano kati ya pande mbili

    Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
  18. JamiiForums Tanzania China yataka usawa katika usimamizi wa Dunia

    Rais Xi Jinping wa China amesema mfumo wa utawala wa kilimwengu lazima ufanywe uwe wa usawa na uadilifu zaidi, na kwamba kanuni zinazowekwa na nchi moja ama baadhi ya mataifa haziwezi kulazimishwa kufuatwa na wengine. Akizungumza kwenye Jukwaa la Boao, ambalo ni mbadala na Jukwaa la Kiuchumi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China yafuata ahadi yake katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Video: Mabadiliko ya tabia nchi ni suala linalokabili kila mmoja wetu Pili na Amani wameshiriki kwenye shughuli ya kupanda miti hapa BJ ili kuchangia juhudi za kusaidia kutatua suala hilo. Waziri wa Teknolojia wa China Bw. Wang Zhigang amesema ahadi ya China kuhusu“utoaji wa hewa ya kaboni...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inatakiwa kujiunga na China kupinga kivitendo “utaifa wa chanjo”

    Hivi karibuni, miji mingi nchini China ikiwemo Beijing, Shanghai na Guangzhou imezindua kazi ya kuwapatia kwa hiari raia wa kigeni chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, ikiwa ni juhudi za kuwapa wageni haki sawa za kuchanjwa kama wachina. Kijana Adhere Cavince kutoka Kenya ni mwanafunzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…