Kenya teaches China a lesson

You can teach a lesson to a person who gives you money. Hapo mnajifurahisha tu.

Chinese will understand your lesson if you pay back his money.
 
Dawa ya deni ni kulipa, siyo kuleta ngendembwe hapa.
Unaweza kumpa lesson mChina kwa lipi ulilo nalo???
Haya, ambia Samia Suluhu alipe Deni la Tanzania. Last time I checked, you were asking the international community to forgive you.
 
Hayo kawaambieni waChina. Sisi hatuhusiki.
Mkuu, tukitaka loni wakati wowote tunapata tu bila tabu. nyinyi hamuna hata haya mulimpigia magoti rais wa Afrika Kusini kumtaka awaombee loni BRICS akawapuuza.
loni tulizichoka kitambo sana na hatuna haja nazo. jaribu upitie ukurasa wa facebook wa IMF uone Wakenya waliokita kambi huko usiku na mchana kwa mda wa miezi miwili sasa usikie wanasema nini
 
Hilo linasaidia nini kutodaiwa na mChina. Wait for national assets foreclosure.
 
Hawa nyang'au sio wazima kichwani. Propaganda za serikali yao no za kijinga sana. Wanachekesha
 
Back
Top Bottom