china

  1. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kutimiza ahadi yake ya kusaidia nchi za Afrika kupata chanjo ya Covid-19 na kuhamisha teknolojia

    Hadi mwishoni mwa mwezi Mei China ilikuwa imetoa msaada wa zaidi ya dozi milioni 20 za chanjo ya Covid-19 kwa karibu nchi 40 za Afrika ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhakikisha dunia inasonga pamoja kwenye utoaji wa chanjo. Kama sehemu ya Ushirikiano wa Kusini na Kusini, China iliahidi...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania China yasema mlipuko ya COVID-19 kugeuzwa kuwa siasa kutadhoofisha jitihada za kupambana nao

    China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo baada ya Rais Joe Biden kuagiza Ripoti ya jinsi Virusi vilivyoibuka kwa mara ya kwanza ipitiwe Mara...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Biden ataka kuchunguzwa asili ya Covid-19 wakati vyombo vya intelijensia Marekani vikiunga mkono kuwa imetokea China

    Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China. Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Sikukuu ya pamoja kati ya China na Afrika

    Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi amehudhuria sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika hapa Beijing. Kwa niaba ya serikali ya China, Bw. Wang ametoa pongezi kwa mabalozi wa nchi za Afrika nchini China, mataifa ya Afrika na watu wao. Bw. Wang amesema, Siku...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    Daniel Ellsberg Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania China Corona imepungua sana nao wanadai Mungu kawasaidia

    Taifa lenye watu wengi zaidi dunia, watu 1,444,251,755 mpaka kufikia tarehe 21/05/2021 kulikuwa na maambukizi mapya 24 tu, sawa na 0.000001, na vifo tangia ugojwa uanze ni watu 4636 tu ndiyo wamepoteza maisha. Italia imepoteza watu124, 810 Iran imepoteza watu 78194 German imepoteza watu 87,639...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania China: Hali mbaya ya hewa yaua wakimbiaji 21

    Takriban watu 21 wamefariki dunia kufuatia mvua yenye baridi na upepo mkali wakati wanakimbia (Ultramarathon) katika Jimbo la Gansu Kaskazini Magharibi mwa China. Maafisa katika eneo hilo wanasema mbio hizo zilizojumuisha watu 172 ziliathiriwa ghafla na hali mbaya ya hewa ambapo ndani ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda yatia saini mkataba na China ili kuwezeshwa kuunga kwenye SGR ya Kenya

    Uganda has signed a Ksh5 billion deal with China Roads and Bridge Corporation (CRBC) in order to link Kampala with the Standard Gauge Railway (SGR) in Kenya. This is in a bid to enhance trade with Uganda as well as enable easier transport of goods via SGR from Kampala to Mombasa port...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kupeleka kifaa katika sayari ya 'Mars'

    China imekuwa nchi ya pili katika historia kufanikiwa kufikisha kifaa katika Sayari Nyekundu au 'Mars' Kifaa hicho kilichopewa jina la Zhurong ambalo ni jina la Mungu wa Moto wa Kichina kimetua Jumamosi, Mei 15, 2021 Asubuhi Zhurong itachunguza uwezekano wa kuwa na maisha karika Sayari ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yaipatia Tanzania msaada wa TSh. Bilioni 35

    Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Sh35.37 bilioni zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokubaliwa na kuridhiwa na mataifa hayo mawili. Hayo yameelezwa leo Jumatano Mei 12, 2021 na Katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wakati...
  13. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

    Mabaki ya roketi ya China yametua kwenye bahari ya hindi magharibi mwa nchi ya Maldivies pasipo madhara yoyote kwa binadamu kama China yenyewe ilivyosema.Naona USA kabaki hoi.Chanzo cha habari kwa mashirika yote ya habari ni kutoka China kwenyewe. ===== Mabaki ya roketi ya China yalipuka na...
  14. Tumaini CN-CNB

    JamiiForums Tanzania Utalii-Ukuta Mkuu wa China

    UKUTA MKUU WA CHINA 中国的万里长城 THE GREAT WALL OF CHINA Kimetungwa na Luo Zhewen (罗哲文)na Zhao Luo (赵洛) Kimetafsiriwa na Tumaini UTANGULIZI Kwa wageni, “Ukuta Mkuu” hutajwa pamoja na China. Katika kitabu cha jiografia cha shule za msingi, wanafunzi walisoma habari kuhusu Ukuta Mkuu...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya China ya Sinopharm yapata idhini ya WHO

    WHO imetoa idhini ya dharura kwa Chanjo dhidi ya COVID19 iliyotengenezwa na Kampuni ya China ya Sinopharm. Imeshauri itolewe kwa dozi mbili kwa walio na miaka 18 na kuendelea. Japokuwa Chanjo hiyo tayari imetolewa kwa Mamilioni ya watu China na sehemu nyingine, idhini ya WHO ni mwongozo kwa...
  16. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

    Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi? Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16. Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...
  17. Tumaini CN-CNB

    JamiiForums Tanzania Language - Swahili in China

    SWAHILI IN CHINA Writer: Tumaini First, I would like to explain how I came to learn Swahili. Actually it was more or less an accident. When I was a high school student...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa. Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii. katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
  19. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya teaches China a lesson

  20. Ophonso

    JamiiForums Tanzania China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua. Pia tayari...
Back
Top Bottom