china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi kuhimiza zaidi ushirikiano kati ya China na Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya hivi karibuni alipohudhuria hafla ya kumalizika kwa mradi wa bandari ya mafuta ya Mombasa uliojengwa na kampuni ya China pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi aliyekuwa ziarani nchini humo, amesema Kenya na Afrika zinahitaji marafiki wanaopenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ya mapapai kukutwa na Corona yaibuka upya China

    Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam Mpaka sasa supermarket kadhaa...
  3. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya received rice donation from China to fight hunger

    Kenya and China sign six trade agreements THURSDAY JANUARY 06 2022 China's Foreign Minister Wang Yi (L) is received by his Kenyan counterpart, Raychelle Omamo (R) at the Sarova Whitesands Hotel where they met for a bilateral meeting between Kenyan and Chinese officials in the Kenyan coastal...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China atembelea Afrika mwanzoni mwa mwaka mpya kwa miaka 32 mfululizo

    Mwanzoni mwa mwaka mpya, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ambaye pia ni mjumbe wa taifa wa China ametembelea nchi tatu za Afrika, ambazo ni Eritrea, Kenya na Comoro. Huu ni mwaka wa 32 mfululizo kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka mpya katika nchi za...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China afanya ziara ya mwanzo wa mwaka barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32. Ziara hii inafanyika ikiwa ni sehemu za mpango wa muda mrefu wa China wa kuimarisha uhusiano wa...
  6. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Asia (hususani China & India) kuna watu wengi mno?

    Nimekua nikiamini kuwa hakuna bara linaloifikia Afrika kwa uzuri wa kusapoti uhai, yaani vitu kama rasiliamali nyingi, hali ya hewa, ardhi yenye rutuba, maji ya kutosha(sub saharan), wanyama wengi wa kuwinda/kula nk. nk. Pia nimekua nikiamini kuwa Afrika ndipo binadamu wa kwanza walipoishi...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Zaidi ya Maafisa wa Polisi 200 wavamia Ofisi ya Stand News

    Polisi imewakamata watu 6 kutoka Tovuti ya Habari ya Stand News kwa tuhuma za njama ya kuchapisha machapisho ya uchochezi. Ofisi ya Tovuti hiyo imevamiwa na zaidi ya Maafisa 200 Polisi wamesema waliidhinishwa kutafuta na kukamata nyenzo muhimu za Habari. Mapema mwaka huu, Polisi walivamia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Trevor Noah adhihakiwa na wenzake kutokana na kauli kuwa China inafanya “ukoloni mambo leo” barani Afrika

    Hivi karibuni mchekeshaji nchini Marekani Trevor Noah alisema katika kipindi chake cha The Daily Show kuwa, China imewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya ujenzi barani Afrika, na kufanya uhusiano wake na Afrika uonekane kama ni “ukoloni mambo leo”. Kauli hii sio tu imekosolewa na wanamtandao wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wakati Afrika inajikwamua kiuchumi, Marekani “inavunja ngazi” na China “inajenga ngazi”

    Hivi karibuni, hotuba iliyotolewa kwa njia ya video na mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo Endelevu cha Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani Jeffrey Sachs ilifuatiliwa na kuitikiwa sana na watu wa Afrika. Kwenye mkutano huu wa Umoja wa Mataifa, profesa huyu alitoa mfano wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Balozi mpya wa China nchini Marekani aonesha tofauti ya uongozi wa busara kati yake na mwenzake wa Marekani

    Ushindani mkubwa kati ya Marekani na China umekuwa ukifukuta na kuatiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Mtazamo hasi wa Marekani dhidi ya China unajidhihirisha wazi zaidi katika kipindi hiki, kwani Marekani bila aibu wala kificho imekuwa ikiishambulia hadharani kwa maneno na kuinyooshea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa kijamii kwa maendeleo umepata manufaa kwa China na sasa inaisaidia Afrika

    Hali ya usalama barani Afrika mwaka 2021 Viongozi wa Afrika wamejitolea kwa muda mrefu kuondoa mizozo ya silaha, kukuza amani ya kudumu na maendeleo barani Afrika, ili kufikia malengo yaliowekwa na Umoja wa Afrika. Hata hivyo, malengo ya kuondoa kabisa mapigano na migogoro hayajafanikiwa kama...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

    Huang Wei China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo. Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
  13. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Acha Al-Khasus, mimi ninazo mpaka dawa za china

    Naam Naam yeye ni zawadi ya kimwambao, binti wa pwani. Sijui nimuite malaika wa kibantu, kihabeishia au kiajemi sielewi nimuweke kundi lipi hata Unaweza kuuona uzuri wa wake pia kwa kuitazama tu ngozi yake, laini yenye mvuto usiomithilika usio wa dukani ambao umetunzwa vyema mara nyingi...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania China yatajwa kuwa mkamataji mkubwa zaidi wa Waandishi wa Habari duniani

    Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa. Imeeleza, China imekuwa ikifanya kile kilichotajwa kama kampeni ya ukandamizaji dhidi ya Uandishi wa Habari...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoshiriki Michezo ya Olimpiki ili kupinga Ukatili unaofanywa China

    Marekani haitatuma wawakilishi rasmi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi huko Beijing. Kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, njia mojawapo ya kukemea ukandamizaji wa jamii ya Uyghur nchini China. "Hakuna afisa wa Marekani au mwanadiplomasia atakayekuwepo Beijing mwezi Februari," msemaji...
  16. J

    JamiiForums Tanzania China evil plan for Africa revealed

    The second colonization of Africa: CHINA'S EVIL PLAN FOR AFRICA By the year 2050, according to the metrics of continental geopolitical ethnography, Africa will become a Chinese continent. African leaders, instead of setting up a "sinking fund" are just happy to revel in their own batty. Fact...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China kwa mtazamo wa mwafrika anayeishi China kwa karibu miongo miwili: China ya sasa ina mambo mengi ya kujifunza kuliko uchumi peke yake

    kasri ya kifalme mjini Beijing (Forbidden City) mandhari ya kisasa mjini Shanghai Kwa muda wa muongo mmoja sasa China imekuwa inatajwa kama nchi yenye uchumi wenye nguvu ambao unakaribia kuupita ule wa Marekani. Kwa watu wengi wa Afrika picha ya China kidogo ina mchanganyiko wa yale...
  18. J

    JamiiForums Tanzania China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    No project in Africa has been ‘seized’ by China due to inability to repay loans: Chinese Embassy in Uganda By Global TimesPublished: Nov 29, 2021 01:08 PM Updated: Nov 29, 2021 01:39 PM Aerial photo taken on July 11, 2020 shows the Karuma hydropower project under construction along the River...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yaahidi dozi Bilioni 1 za Chanjo kwa Afrika

    Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutuma barani Afrika dozi bilioni moja za chanjo ya Covid-19 ili kusaidia kuziba "pengo la chanjo". Rais alitoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kilele wa China na Afrika. Kati ya bilioni moja, dozi milioni 600 zitatoka China moja kwa moja huku milioni 400...
  20. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe unaendelea kama kawaida, "kuchukuliwa" na China ni uvumi mbaya tu

    Hivi karibuni, habari kwamba "kwa sababu serikali ya Uganda imeshindwa kulipa madeni ya China, China itachukua uwanja pekee wa ndege wa kimataifa wa nchi hiyo Entebbe International Airport” imeenea kwa haraka kwenye mitandao ya kijamii na kuvutia ufuatiliaji mkubwa wa pande mbili za China na...
Back
Top Bottom