china

  1. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika hauko kwenye “dira” au karatasi tu

    “Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
  2. K

    Nawezaje kulipa manunuzi kutoka tzsh/ usd kwenda CNY fedha ya china??

    Poleni na majukumu wana jamiiforum.. Ningependa kufahamu namna y a kufanya malipo kwa supplier wa kichina,maana anahitaji nifanye malipo wa pesa za kichina yani CNY na si usd . Na ananiuliza km ninaye mtu wa kufanya malipo kwa fedha za kichina sa sijafahamu Apo uzuri. Hivyo wenye kuelewa haya...
  3. stakehigh

    CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    - Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_largest_political_parties - CCM inapoendelea na sera zake...
  4. L

    Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
  5. beth

    China yawabana online gamers, walio chini ya miaka 18 kuruhusiwa kucheza saa 1

    Mamlaka ya Kudhibiti Michezo ya Video Nchini humo imesema Wachezaji wa Mitandaoni wenye umri chini ya miaka 18 wataruhusiwa kucheza kwa saa moja siku za Ijumaa, Wikiendi na Mapumziko Kumekuwepo wasiwasi wa muda mrefu juu ya athari za uchezaji uliopitiliza kwa Vijana. Kanuni za awali zilielekeza...
  6. beth

    China yapiga marufuku mitihani kwa Watoto wenye miaka 6 na 7

    Taifa la China limetangaza kupiga marufuku kwa Mitihani (ya kuandika) kwa Wanafunzi walio na umri wa miaka 6 na 7 ikisema imefanya hivyo kujaribu kuwaondolea Wanafunzi na Wazazi presha kubwa Wanafunzi Nchini humo wamekuwa wakifanya mitihani kuanzia mwaka wa kwanza wa Elimu ya Msingi hadi...
  7. L

    China yawapatia chanjo wataalamu wake wa kigeni zaidi ya 350,000

    Ili kulinda wafanyakazi wa kigeni wanaoishi na kusoma nchini China, pamoja na kuwajengea kinga imara dhidi ya virusi hatari vya Corona, China imewapatia chanjo zilizotengezwa ndani wageni wenye umri unaostahiki ambao wapo nchini. Zaidi ya wataalamu 350,000 hivi saa tayari wameshapatiwa chanjo...
  8. L

    “Hadithi ya Miji Miwili” toleo la kisasa: michango ya China na Marekani katika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19

    Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
  9. beth

    China haijarekodi maambukizi ya ndani kwa mara ya kwanza tangu Julai, 2021

    Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa. Tangu Julai 20 zaidi ya watu 1,200 walithibitishwa kupata maambukizi ya Virusi vya Corona China. Hata...
  10. chiembe

    China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  11. L

    Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya

    Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji. Lakini kujitokeza kwa China na kuwa na sauti kwenye jukwaa la kimataifa, iwe ni kwenye eneo...
  12. L

    Mchango wa Chama cha Kikomunisti cha China kwa maendeleo, amani na utulivu wa dunia

    Na Ronald Mutie Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu, amani na utulivu. Mkuu wa Tume ya Uhusiano wa nje wa Chama cha Kikomunisti cha Kamati Kuu ya Vietnam...
  13. L

    China kuigeuza Afrika kutoka “jangwa la chanjo” kuwa “chemichemi ya chanjo jangwani”

    Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la dawa nchini Marekani”, ikisimulia upatikanaji wa chanjo usio na usawa duniani, hali ambayo inaitwa...
  14. lee Vladimir cleef

    China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataliban

    Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataleban. Wakati nchi kadhaa zikiwa kwenye hatihati za kufunga balozi zao, Urusi...
  15. beth

    China: Watu 21 wafariki dunia kutokana na mvua kubwa

    Miji mitano katika Jimbo la Hubei imetangaza tahadhari baada ya mvua kusababisha vifo vya watu 21 na kulazimisha watu wapatao 6,000 kuhamishwa makazi. Mamlaka zimeonya mvua kubwa zinaweza kuendelea hadi wiki ijayo Hali mbaya ya hewa imesababisha umeme kukatika huku nyumba zaidi ya 3,600 na...
  16. L

    Mgogoro iliozusha Marekani si kati yake na China, bali ni kati ya ubinadamu na umwamba

    Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
  17. L

    Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

    Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe. Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
  18. beth

    Maambukizi zaidi yaendelea kuripotiwa China

    China imeendelea kurekodi maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona, ikiwa ni wiki ya tatu tangu mlipuko mpya kuripotiwa. Visa vipya 125 vimerekodiwa na baadhi ya Miji imeongeza jitihada za upimaji ili kukabiliana nao. Kirusi Delta kimegundulika katika Miji kadhaa Nchini humo tangu Julai 20. Katika...
  19. K

    China is the upcoming super power

    China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani. Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38. Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje? Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
  20. Miki123

    Harmony OS haijaisadia Huawei, mapato yashuka kwa 30%

    Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu. Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android. Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa...
Back
Top Bottom