Food Aid: Wakati Tanzania ina cha kutosha, Kenya imepokea chakula cha msaada kutoka China

babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
11,145
27,335
Ni aibu sana nchi kutembeza bakuli karne hii ya 21 kuomba chakula cha msaada.

Tanzania tujivunie uchapakazi wetu kwenye kilimo.

=======

Kenya Holds Takeover Ceremony of Chinese Food Aid Program

Kenya on Monday held takeover ceremony of the eighth and last batch of 2018 Chinese Food Aid Program to boost the war against hunger and malnutrition in Kenya that has escalated amid recurrent droughts.

China has since 2018 donated 11,835 metric tons of rice worth 1.2 billion shillings (about 12 million U.S. dollars) as part of its humanitarian assistance to Kenya.

The donation ceremony was attended by Zhang Yijun, Minister Counselor of the Chinese Embassy in Kenya, and Margaret Kobia, cabinet secretary of the Kenyan Ministry of Public Service, Gender, Senior Citizens Affairs and Special Programs.

Kenya Chinese Food.jpg
 
Mara ya mwisho kwa tanzania kuomba chakula cha msaada kutoka nje ilikuwa 1980´s lakini kwa ndugu zetu kila siku kwao ni shida kwa kwenda mbele

Halafu utaskia jitu zima linakwambia sisi tuna GDP kubwa,labda GDP ya nyoko
 
Wanatuzidi technolojia sawa watuzidi na chakula? African countries must rethink on that,kufocus kwenye miundo mbinu na kusahau kilimo ni disaster,Kenya inapaswa kutenga bajeti kumitigate hali ya ukame,ina hitaji mabwawa kuvuna maji ya mvua ili kupunguza hali ya ukame especially northen part.Kuletewa chakula toka ng'ambo ni kuidhalilisha Africa kwamba sisi ni hamnazo kabisa.
 
Back
Top Bottom